Hatimaye nimerudiana na Ex wangu

Hatimaye nimerudiana na Ex wangu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,199
Reaction score
14,384
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.

1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.

2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.

3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula

Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
 
Wewe muongo mno ulisema.uko dada ako na shem amekumbia uondoke HV mnadhni huku Ni facebook fb nn

Kujuwa kuandika tu unaleta ujinga huku

Bladfakeni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sorry mkuu inaonekana capacity Yako ya reasoning haina tofauti na Mtoto wa kindergarten. Kwani mtu kukaa shemeji yake ndio Kizuizi cha kutokuwa na mahusiano? The only and big problem ni kuwa mnatumia emotions zaidi kuliko logic
 
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.

1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.

2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.

3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula

Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
Inshaallah,Mola akurehemu!
 
Sorry mkuu inaonekana capacity Yako ya reasoning haina tofauti na Mtoto wa kindergarten. Kwani mtu kukaa shemeji yake ndio Kizuizi cha kutokuwa na mahusiano? The only and big problem ni kuwa mnatumia emotions zaidi kuliko logic
Aah acha upumbafu dogo plz acha upumbafu hamia fb tu huku siko na Wala huku siko type yako ,mnafanya jf ipoteze laza ile ya u great thinker upuuzi Sana wee dogo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Licha ya kupost status ya wimbo wa Mario Dear Ex tena pale anaposema utamrudia Ex wako au bora kufa na kujiona kuwa mimi ni Handsome boy sana kuwa I don't deserve to date short girls. Kumbe ni Mimi ndio nilikuwa nina vingi vya kupoteza kwenye mahusiano yetu.

1. Nimekaa miezi miwili mimi bila ya kusuuza rungu zaidi ya kukawia bafuni tu.

2. Kumbe mimi sio handsome tena ni domozege promax mbaya zaidi hata pesa sina.

3. Mimi simu yangu zilikuwa zinaingia notifications za mitandao na sms za kudaiwa tu atleast leo nimetumiwa mchana mwema mixer kuulizwa baby umekula

Hatimaye leo nimerudisha mpira kwa kipa nakushukuru sana mpenzi wangu Priscilla toto la Mulebani kwa kukubali msamaha wangu.
MPAKIE MKONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Plisilla ni ex wangu dem flan hv black kapanda kidogo,alikuwa field hapo halmashauri ya Muleba....kila la heri
 
Back
Top Bottom