Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake.
Mtoto wao ana mwaka wa pili...
Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote kwa pamoja tuitikie kazi iendelee. Natumai wanajukwaa la MMU hamjambo, mimi kama mwenyekiti chipukizi wa jukwaa hili naomba kuileta...
Wanawake hua siwaelewi.
Kwanza hawajui zama hizi ukitongozwa umepewa thamani ya juu sana. Maana hivyo viungo vyenu vinapatikana bila kutongoza.
Sasa unakuta mwanamke anatongozwa anatoa majibu...
1. Binti alikuwa mwanachuo, chuo flani Mkoani. Nimeenda kikazi ndo bado kijana miaka hiyo. Katika kupita pita town nikakutana naye kwenye duka moja la vinywaji. Nikamtamani nikaomba namba ya simu...
Ndoa Kwa wenzetu wenye I.Q kubwa sio kama vile tuzaniavyo sisi huku afrika, kwao ndoa huwa zinaenda au huwa na malengo ya ndani zaidi, ambayo pengine ni ya kitabia, akili za familia fulani na...
Majibu ya sensa yamevuja uko "Katika kila vijana kumi, kuna vijana kumi wanateseka na mapenzi".
Umeshawahi mfata msichana mkiwa sekondari akakujibu shombo kinoma, halafu baada ya miaka kama 9...
Roho ya mauti ni mbaya sana, kabla hujaingia kwenye mahusiano na mtu, jitahidi umjue.
Jua atleast mahusiano yake matatu nyuma yaliishaje, yalikuwaje?
Kuna mtu ukiingia naye tu kwenye mahusiano...
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location ...
Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja...
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania, miaka 36, dini mkristo, elimu Msc, kazi mfanya biashara.
Natafuta mwanamke ambaye ninaweza kuzaa nae mtoto au ambae anahitaji...
Kama hauna kipato au fedha za kumhudumia mwanamke uliyenae kwenye mahusiano basi ujue:
1. Muda wako wa kuwa kwenye mahusiano haujafika.
2. Hauna mapenzi ya kweli kwa huyo mdada.
3. Unaendeshwa...
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano. Ila kwa sasa sina hisia naye kabisa, natafuta njia nzuri ya kumpiga chini.
Je, nimchane simtaki au nimpotezee kimya kimya, maana anatuma tuma ujumbe kila...
Mdada mmoja alikuwa anauza kibanda cha chips, alinivutia na nilikuwa na mpango wa kumtongoza, kabla sijamtongoza nlimpa Tsh. elfu 2 anipe chips za buku jero.
Chenji ya jero akanipiga kwa...
Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
Nimefuatilia maone ya wanawake wengi wanaonesha Mkandamizaji anapaswa tu kupuuzia kila kitu kilichotokea.
Wengine wamefikia hatua ya kusema eti kwa vile alioga, kuna haja gani ya kuendelea ku...
Ndugu wanaJF
Jumamosi (01/10/2022) nilileta uzi jukwaani nikiomba kwa aliyetangulia kubarikiwa pesa, aniwezeshe nauli niende kwenye usaili kule kwenye makao makuu ya nchi (kibiashara na Ikulu)...
Katika kukaa kaa kwangu leo nimekumbuka kumbe sijawahi miliki mpenzi niliyesoma naye ama darasa moja au shule moja.
Hii ni tangu nimeanza darasa la kwanza shule ya msingi hadi namaliza PGDE chuo...
Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo.
Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya...