Hi!
Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao.
Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia...
Mwenzenu sijui Nina tatizo gani ama tuseme Sina ngekewa kabsa kwenye Mapenzi gundu zimeniandama.Yaani nikitokeaga kumpenda mwanamke kwa dhati yangu yote kiukweli huwa napata tabu Sana kumpata...
Wadau,
Nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi fulani hivi so natural wana figure nzuri, halafu waelewa na wajanja tofauti...
Wana MMU hongereni na Kazi..
Kwa wale Mabachela Sugu,pitieni huku kuna ofa ya kupata mke kutoka kwa Mzee..
Bei ya makabishiano ni maelewano,watakaowahi watapata punguzo👇
"No one judge me"
Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo...
Wanawake kiukweli uwepo wenu una thamani na umuhimu mkubwa sana katika hii Dunia, ila kitendo cha kubebeshwa mimba na mwanaume mwingine halafu ukaenda kumpa mtoto mwanaume mwingine hii ni mbaya...
Scout yangu usahili wa awali umekamilika
Wagombea nafasi wote wameshindwa kukidhi vigezo takiwa.
Aliekua amebaki ni huyu baada ya juzi Manka kuondoshwa kwenye kinyang'nyiro, sasa nae...
Simple rule.
Kwa wale wanawake wasiotaka kuwajibika kwa wanaume wao kimajukumu ya mke, kama mwanaume anakupa kila unalostahili kupata basi ujue kuna mke mwenzio. Kivyovyote vile, kuna hali ya...
Habar wana JF
Natumaini wazima
Twende kwenye lengo bila kupoteza muda
Ukweli nikwamba mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili hilijambo linaukweli kabsa na sio uongo hapa ntaka...
Ni hivi, wewe una chumba chako umepanga ungependa uishi na rafiki au mwenyewe.
Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu.
Kipi bora, maisha ya kuishi mwenyewe au na...
Wadau. Kama hili nalozungumza litakuumizal/litakuuma basi pole tu.
Ni miezi kama 4 sasa najikuta napofanya mapenzi na mtu kumaliza ni shida. Nakosa kuenjoy sababu inaweza fika hata saa...
Nipo bar fulani hapa tabata sasa kuna barmaid mkali sana yaani huyu ni under 20 kama sijakosea tatizo linakuja kila raia hapa anatoa macho kwake cos ni cute balaa.
Kwanza ziwa mchomoko, ana...
Nimekuwa na safari nyingi sana lile jiji analotokea Mkuu wa Nchi. Katika pita pita huko "mwenda bure si sawa na mkaa bure, huenda akaokota hata maradhi" nikafanikiwa kumpata dada mmoja anasoma...
Wakuu tangu niamue kuokoka nimepata changamoto kubwa sana, leo nimezini mara ya pili hata wiki haijaisha.
Yani ni kama kasi imeongezeka, halafu niliye zini naye leo ni demu aliye nipiga chenga...
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...
Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi...
It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia...
Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati...
Najaribu kuangalia Maisha ya sasa nadhani katika ndoa ni muhimu mwanamke akachangia maendeleo ya familia kuliko kila kitu kumtegemea mume.
Vipo vitu baadhi mwanamke anaweza kufanya badala Tu ya...
Kwa kuanza, naomba kuchukua nafasi hii kuusifu uumbaji wa Mola.
Si mnajua kabisa kuhusu wizara ya maji na umeme hapa nchini imekuwa ikifanya vyema sana kupita maelezo kiasi cha kuwa na tenki la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.