Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,743
- 3,319
Scout yangu usahili wa awali umekamilika
Wagombea nafasi wote wameshindwa kukidhi vigezo takiwa.
Aliekua amebaki ni huyu baada ya juzi Manka kuondoshwa kwenye kinyang'nyiro, sasa nae kajichanganya kanitumia haka ka ujumbe mchana automatically akawa disqualified.
Mimi natafuta pure N really africanism woman.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app