Kosa kubwa walolifanya wanawake

Kosa kubwa walolifanya wanawake

minded tips

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
507
Reaction score
876
Wanawake kiukweli uwepo wenu una thamani na umuhimu mkubwa sana katika hii Dunia, ila kitendo cha kubebeshwa mimba na mwanaume mwingine halafu ukaenda kumpa mtoto mwanaume mwingine hii ni mbaya kiasi wanaume inawaumiza sana na ndiyo maana wanaume mwingine baada ya kugundua waliishia kuua mtoto au kuua mwanamke.

Acheni tamaa, kama aliyekupa mimba hana uwezo wa kuihudumia mbane huyo huyo siyo umpe mimba mwanaume mwingine ili tu akupatie huduma wakati mimba siyo yake. Kuweni makini, kuna watu makatili kwenye huu uso wa Dunia Shetani mwenyewe anasubiri.
 
Wanawake kiukweli uwepo wenu una thamani na umuhimu mkubwa sana katika hii Dunia, ila kitendo cha kubebeshwa mimba na mwanaume mwingine halafu ukaenda kumpa mtoto mwanaume mwingine hii ni mbaya kiasi wanaume inawaumiza sana na ndio maana wanaume mwingine baada ya kugundua waliishia kuua mtoto au kuua mwanamke. Acheni tamaa kama aliyekupa mimba hana uwezo wa kuihudumia mbane huyo huyo sio umpe mimba mwanaume mwingine ili tu akupatie huduma wakati mimba sio yake kuweni makini kuna watu makatili kwenye huu uso wa dunia shetani mwenyewe anasubiri.
acha maneno uncle lea mimba lea mtoto hauwezi kujua mtoto anaweza kuja diamond platnumz huyo baadae utakula mafao yako za uzeen ukiwa madale
 
Sasa kwanini huyo Mwanamke nae akufanyie hivyo hana hata huruma

Polee
 
Nimeongea kwa uchungu sana juu ya tukio lililompata jilani yangu yani watoto wannne wote kweli...daah
Watoto huwafanana wazazi au ndugu wengine ndani ya familia au ukoo.......ukipigwa umetaka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom