Ninayempenda hanipendi!

Ninayempenda hanipendi!

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
10,658
Reaction score
20,070
Mwenzenu sijui Nina tatizo gani ama tuseme Sina ngekewa kabsa kwenye Mapenzi gundu zimeniandama.Yaani nikitokeaga kumpenda mwanamke kwa dhati yangu yote kiukweli huwa napata tabu Sana kumpata.

Nakumbuka Kuna wakati niliwahi kushusha Uzi humu nikielezea jinsi nilivyotumia muda mrefu kumwimbisha demu Fulani ndo akaja kunielewa.Kiukweli nilitumua nguvu nyingi Sana kwa sababu Nilikuwa numemzimikia kinyama ma'ke alikuwa anakidhi vigezo vyangu.Nilifanikiwa kulala mbususu Yake Ila kwa mbinde Sana.

Ila wapo wanawake wengine ambao huwa siwazimikii Sana bt huwa nawapata Sana kiurahisi.Yaani ile sijawatongoza vizuri wanakuwaga wameshajiongeza tayari.

Bt wapo wanawake wengine ambayo huwa natokea kuwapenda Sana pindi niwaonapo sehemu.Huwa nawafuata kuwasoundisha ila huwa napata tabu Sana kuwaelesha.Ukizingatia hapo niko tayari kuwanyai chochote ilimradi niwe nao.Nakuwa tayari kuspend pesa zangu kwao kwa namna yoyote ile bt huwa napata wakati mgumu Sana kwao.

Mpaka Kuna muda huwa nakaa chini na kuanza kujiuliza kwanini nikitokeaga kumpenda mwanamke fulani kwa dhati yangu yote huwa hanitaki?.Pamoja na kwamba Sina mapungufu yoyote coz Nina kipato kizuri tu afu najielewa I'm a gentleman.

Kweli nimeamini unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi.
 
Kuwa tayari kufanya chochote au ku spend pesa umpate ni dalili ya mtu desperate, hana confidence na ambae hana options. Wanawake ni wepesi kugundua mwanaume wa namna hii na akijua atakusumbua.
 
jukumu la kupenda achia wanawake
wewe peleka moto tu
 
Kuwa tayari kufanya chochote au ku spend pesa umpate ni dalili ya mtu desperate, hana confidence na ambae hana options. Wanawake ni wepesi kugundua mwanaume wa namna hii na akijua atakusumbua.
Kwa hiyo nitumie mbinu gani mkuu?
 
Mwenzenu sijui Nina tatizo gani ama tuseme Sina ngekewa kabsa kwenye Mapenzi gundu zimeniandama.Yaani nikitokeaga kumpenda mwanamke kwa dhati yangu yote kiukweli huwa napata tabu Sana kumpata.

Nakumbuka Kuna wakati niliwahi kushusha Uzi humu nikielezea jinsi nilivyotumia muda mrefu kumwimbisha demu Fulani ndo akaja kunielewa.Kiukweli nilitumua nguvu nyingi Sana kwa sababu Nilikuwa numemzimikia kinyama ma'ke alikuwa anakidhi vigezo vyangu.Nilifanikiwa kulala mbususu Yake Ila kwa mbinde Sana.

Ila wapo wanawake wengine ambao huwa siwazimikii Sana bt huwa nawapata Sana kiurahisi.Yaani ile sijawatongoza vizuri wanakuwaga wameshajiongeza tayari.

Bt wapo wanawake wengine ambayo huwa natokea kuwapenda Sana pindi niwaonapo sehemu.Huwa nawafuata kuwasoundisha ila huwa napata tabu Sana kuwaelesha.Ukizingatia hapo niko tayari kuwanyai chochote ilimradi niwe nao.Nakuwa tayari kuspend pesa zangu kwao kwa namna yoyote ile bt huwa napata wakati mgumu Sana kwao.

Mpaka Kuna muda huwa nakaa chini na kuanza kujiuliza kwanini nikitokeaga kumpenda mwanamke fulani kwa dhati yangu yote huwa hanitaki?.Pamoja na kwamba Sina mapungufu yoyote coz Nina kipato kizuri tu afu najielewa I'm a gentleman.

Kweli nimeamini unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi.
Kama umesoma uchumi, in theory..

Supply inapo kua kubwa demand lazima ishuke.

Hapo kwenye demand kushuka ndipo panapo kusumbua.
 
Back
Top Bottom