Ni nani atakaye okoa dunia?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Ikiwa Mungu hayupo ni nani atakaye okoa dunia?

Wanadamu sasa hivi tunaishi kama wanyama maana wanyama hawanaga aibu wala akili

Sasa hivi mambo ambayo yalikuwa ya aibu kusema mbele za watu au kuonyesha mbele za watu au kutenda mbele za watu

Yamekuwa mambo ya kawaida tu na ukijaribu kuhoji unajibiwa kuwa tuna kwenda na wakati au jali na mambo yako. Wako wapi wale wazee ambao walikuwa wanafundisha watoto jinsi ya kuwa na maadili mazuri
Sasa hivi si kwa wazee au vijana sote tumekuwa kama wanyama

Ebu tufikiria baada ya miaka 10 au 20 tu dunia itakuwaje?
 
Umenikumbusha enzi za huyu mzee!😂😂😂
AEB06D6D-9AAD-42C4-A328-36FB4DC249F9.jpeg
 
Hakuna atakaye okoa
Ila jamii imeyapuuza maadili

Sasa imebaki kuwa jamii ya ovyo
 
No one can stop globalization..jamii zote za dunia lazima zitii hii movement.

Mlipokubali tu imani na tamaduni za majahazi tayari mmekwenda na maji there is no going back.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ikiwa Mungu hayupo ni nani atakaye okoa dunia?
Wanadamu sasa hivi tunaishi kama wanyama maana wanyama hawanaga aibu wala akili

Sasa hivi mambo ambayo yalikuwa ya aibu kusema mbele za watu au kuonyesha mbele za watu au kutenda mbele za watu

yamekuwa mambo ya kawaida tu na ukijaribu kuhoji unajibiwa kuwa tuna kwenda na wakati au jali na mambo yako
Wako wapi wale wazee ambao walikuwa wanafundisha watoto jinsi ya kuwa na maadili mazuri
Sasa hivi si kwa wazee au vijana sote tumekuwa kama wanyama

Ebu tufikiria baada ya miaka 10 au 20 tu dunia itakuwaje?
Mbona Bwana Yesu kitambo sana Alishakomboa muda sana
 
Back
Top Bottom