Kwanini wachezaji wengi wakike wanapendaga kuwa na mionekano wa kiume

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Havi kwanini wachezaji wengi wakike hasa hasa wanao cheza uku Afrika wanapendaga saana kuwa na mionekano ya wanaume
Yaani ata akiwa nje ya uwanja mara nyingi kuvaa kwao na mambo yao mengine yanakuwa kama ya wanaume tu

Unafikiri ni kwanini
 
Wachezaji wa nini kwanza tuanzie hapo
Wachezaji wa mpira wa kiumee.





Screenshot_20221112_183626.jpg
Screenshot_20221112_183607.jpg
Screenshot_20221112_183435.jpg
Screenshot_20221112_183405.jpg
 
Back
Top Bottom