Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya. Hebu jiulize...
43 Reactions
81 Replies
11K Views
Unaweza kukaa kwenye long distance relationship kwa muda gani?
2 Reactions
40 Replies
3K Views
wakuu salamu. Katika pilika pilika zangu za maisha, nimebahatika kukutana na binti mmoja hivi wa kipogoro. Nimetokea kumpenda sana, ila sijui historia na tabia za kabila lao likoje. Kwa mwenye...
1 Reactions
81 Replies
19K Views
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka...
14 Reactions
289 Replies
17K Views
Most of times tulikuwa tunaenda uwanjani kufanya mazoezi ya mpira kama wafanyavyo vijana wengi wa sehemu tofauti sasa ikitokea mtu kacheza Boko lazima apigwe Dongo na dongo lenyewe sio lingine ni...
15 Reactions
59 Replies
4K Views
Mmeamkaje WanaJF? Kuna kitu kikubwa na nakiona kabisa kinaota mizizi kwenye hizi nchi masikini za kiafrika. Huenda ikawa sababu kwa nini Trump alinukuliwa akiziita "shit hole countries"...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia. Wapo...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani mjifunze kutofautisha kati ya mtu kuwa msafi na kuwa na hela.
1 Reactions
1 Replies
369 Views
USIMNYANG'ANYE MWANAMKE MTOTO! Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Hapa Duniani kitu cha thamani kuliko vyote Kwa mwanamke ni mtoto wake. Hata hivyo watoto ndio huweza kuonyesha waziwazi Mchango...
35 Reactions
86 Replies
7K Views
Habari Wadau, Ni Imani yangu kwamba mnaendelea vema na pilika za siku kwa siku, Imedhihirika kwamba wanaume ndio huwa tunahangaika kubeba mizigo ya wenza wetu ikiwemo stress ambazo hupelekea...
6 Reactions
71 Replies
7K Views
Kwa ufupi, Jamaa alianzisha mahusiano na ke ambaye alikuwa na mimba changa (haikufahamika kama ana mimba), siku chache tu ke akasema ana mimba ya jamaa! Jamaa akasema ok, akalea mimba kwa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za humu ndani, Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta mwenza hapa, nawashukuru mliyojitokeza lakini kutokana na sababu mbali mbali sikuweza au hatukuweza kuwa pamoja. Waliojitokeza wengi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na...
1 Reactions
85 Replies
3K Views
Wakuu salaam kwenu Hapa nyumbani kwangu nimempangishia dogo flani ambaye mwanzo alikua anavusha sana mademu yani kwa siku anaweza kuja na mademu watatu tofauti Maisha yakaendelea na tumeishi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 27 Rangi - Mweusi. Dini - Muislam. Elimu - Shahada kwenye Nursing. Ajira - Sijaajiriwa kwasasa, ni mjasiliamali. Natafuta mke: ~ Awe Muislamu [emoji3521]. ~ Awe na uwezo...
0 Reactions
76 Replies
4K Views
Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje. Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo...
15 Reactions
84 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wana MMU..Naamini wengi tulio humu tumeshakuwa kwenye mahusiano ama tuko kwenye mahusiano.. hivi ulishawahi kuhisi kuwa na bahati au nuksi tokea uwe na...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Naombeni wanaujua wanisaidie hii imekaaje maana sielewi, niko na miaka 26 nafanya biashara Nina maduka matatu mji x...makubwa tu, moja nasimamia mm muda mwingi mengine ninawasaidizi. Sasa inshu...
10 Reactions
78 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…