Waungwana hivi unaweza kupata nuksi au bahati ukiwa kwenye mahusiano na mtu?

Sengimisoji

Senior Member
Feb 2, 2022
128
208
Naombeni wanaujua wanisaidie hii imekaaje maana sielewi, niko na miaka 26 nafanya biashara Nina maduka matatu mji x...makubwa tu, moja nasimamia mm muda mwingi mengine ninawasaidizi.

Sasa inshu iko hivi Nina mahusiano na kaka mmoja wakisukuma, tangu nianze mahusiano na yy kipato changu kimeongezeka kwa kasi,Ila tatizo huwa tukigombana tu na kusema nistop mahusiano na yy basi biashara huwa mbaya upande wng,

Kama kwa siku nilikuwa naingiza faida 80000 basi ntakomea 40000 au chini yahapo,Ila tukimaliza mgogoro nikaanza kumuongelesha hali inarud kuwa sawa, mahusiano ya nyuma nilikuwa naduka moja na kipato chakawaida Sana, nahisi nitakuwa mtumwa kwa hili,

Nani ishawahi kumtokea hii hali,yy hajui kukasirka pia nimfanyabiashara na yy, angalizo hanipi hela zaidi ya laki kwa mwezi Ila ndio ivo nikiwa naye vizuri mambo yng yaniendea vizur,nishajaribu kuvunja mahusiano safari tano najikuta namrudia tu na ananipokea kama vile hakuna kilichotokea,MshanaJr hii imekaaje nawadau wengine
 
Hapo Ndiyo Utajua Umekwamishwa Umevunja Mara Tano Unamrudi Yeye
Wote Hamna Family Ama Nini?
Kwa Kifupi Ipo Namna Siyo Bure Hapo, Mshirikishe Mkuu Mshana jr Aje Kutegua Mtego


Ukiwa Naye Faida Chekwa Chekwa Mkugombana Hoi
Lucky Dube Aliimba Liquor Slave
 
Hapo Ndiyo Utajua Umekwamishwa Umevunja Mara Tano Unamrudi Yeye
Wote Hamna Family Ama Nini?
Kwa Kifupi Ipo Namna Siyo Bure Hapo, Mshirikishe Mkuu Mshana jr Aje Kutegua Mtego


Ukiwa Naye Faida Chekwa Chekwa Mkugombana Hoi
Lucky Dube Aliimba Liquor Slave
Hii hali inaniogopesha Sana.
 
Chukua Hatua Baadaye Utafakari Utashindwa Kufanya Mambo Mengine
Mfano Huhitaji Kuwa Naye Ama Yeye Hakutaki Itabidi Uwe Mlamba Viatu Ili Mambo Yako Yaende Je Itakuwa Hivyo Mpaka Lini!!!
Yy hana ubaya na mm na ananihitaji mno,Ila ss nitakuwa mtumwa mpaka lini? Nikijitoa ndio hivyo nadolola,nimeichoka hii hali.
 
Wasukuma wameharibu nchi yetu Sana
Pia mtoa Mada she is bedgrudge new member mnapoteza mda wenu kuhakikisha JF inakuwa kama Fb na hamtoweza pathetic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom