Long distance Relationship

Long distance Relationship

Nahita

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
53
Reaction score
45
Unaweza kukaa kwenye long distance relationship kwa muda gani?
pokagh-20221124-0001.jpg
 
Naipenda Sana,kila mkikutana inakuwa mpya
emoji3059.png
Ni nzuri ila ina gharama yake
Kama zipi?
Mwanaume lazma uwe na kipato himilivu ili kuenjoy mapenzi ,,,familia iwe inapata mahitaji ipaswavyo,,

Mwanaume uwe na uwezo wa kuafford gharama za safari muda wowote na siku yoyote..
Isiwe kusafiri eti mpk ipatikane pesa....binafsi naenjoy...

Msipokuwa na hofu ya Muumba kuchepuka kunakuwa 50/50 both sides scores equal
 
Back
Top Bottom