Mbona mmeanza kutuogopesha wajamene
Yaan kila ukifingua fb unakutana na sijui unatatizo la kuwahi kutandani
Una tatixo la mashine kulegeaaaa
Wengine vidada nahisi kama vina tumia majina ya kike...
Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge...
Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama...
Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela...
Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na...
Wakati mwingine inabidi uwe gentleman unayemjali mpenzi wako, kumnunulia maua au zawadi ndogo. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
Kumfungulia mpenzi wako mlango au kumsaidia kubeba vitu vyake...
Kuna jambo nimekuwa nikiliangalia sana kwenye mahusiano ya siku hizi. Dunia imebadilika, na hata namna ya kuanzisha mahusiano imebadilika.
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa kutongoza. Mwanaume...
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi...
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni...
β’Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi
β’Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe
β’Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii...
ππππ π§πππ¨π§π πππ, ππ¨π’πππͺπ π¦ππ’ ππππ₯π.
Dada hatakama maisha magumu na huna kazi ila usiharakie kuolewa kama back-up ya kupata msaada wa mume.
Olewa kama ni mapenzi na mipango ya pamoja kati yako na...
Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza!
Ni jambo linalotia...
Huyu dada namkubali. Sana Najma Paul mwambieni jamani ucheshi wako lmimi ni shabiki wako, NAKUPENDA sana Mimi kijana wa hovyo sijui umeolewa Sina kitu Sina hela, Mimi ni kafwebe π
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja...