Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimejiajiri, nina biashara inayoniingizia kipato kila siku Rangi - Maji ya kunde Urefu - Kawaida, siyo mrefu sana wala siyo mfupi Sifa za ninaemuhitaji, awe...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
Asalaam, Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Nasema hivi kuoa sio lazima hata kuwa na mtoto sio lazima mbona yesu hakuoa wala hakuwa na mtoto nasema hivi sio lazima.
9 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari za Jumapili? Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Leo nimejisikia niwaachie ujumbe Exs zangu watatu. Ungana nami. WA KWANZA. "Wewe ni Mwanamke mzuri kati ya wote niliokutana nao, ahsante kwa kunidhihirishia hitaji lako la ndoa, ingawa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni kipi chema kama upendo? Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana. Unakua unahisi kama vile yuko...
3 Reactions
9 Replies
727 Views
Na ukorofi wangu plus ujinga wangu wooote nawahurumiaga sana dada poa. Yaani kwa uzoefu wangu huu, wengi hasa wa siku hizi iwe mabinti au wa makamo, ni vijana kuanzia shingoni kuja chini tu...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
19 Reactions
138 Replies
11K Views
Tunaonana kwa nadra sana yani once pa month, hataki niguse simu yake, hataki nijue anapoishi, hataki nimhoji anapanic. Nafsi inanisuta sana kwakuwa sipendi kuikana damu yangu but kwa the way...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Kamwe usihoji kuhusu akili ya mkeo. Thamini maoni na maamuzi yake. Ongea naye kwa heshima. Kamwe usimkosoe hadharani. Heshimu haki zake za faragha. Msikilize mwanamke wako. Weka simu yako kando na...
22 Reactions
77 Replies
4K Views
Kuna wale vijana na kuendelea mpaka uzee unasema acha nichepuke au kujaribu ili mradi tu nifurahishe au nimempeda kwa tamaa tu mambo yakawa mengine mpaka ukatamani kukimbia. Miaka ya nyuma...
0 Reactions
5 Replies
532 Views
PART 1 Huyu dada ndiye ambaye ilikuwa nimuoe. Nlimpenda sana kwa kweli na ku risk kumsomesha. Baada ya kuwa alikuwa na ufaulu ambao ungeweza msaidia kuendelea na masomo. Hakuwa na wazazi. Na...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Rejea somo tajwa hapo juu, utafiti wangu niliyofanya Kwa kutumia sampuli 20 (10 zina vipini na 10 hazina) umebaini kuwa Wanawake wenye vipini wanatiika (kuwa mwelewa) kirahisi zaidi kuliko wasio...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
To you girls "the pretenders". You rejected a loving guy because you said he's poor, he is a bodaboda rider. This guy is hardworking, but meanwhile, you're jobless. Your only job is that you're...
6 Reactions
4 Replies
724 Views
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa...
30 Reactions
129 Replies
8K Views
Kwani huna majukumu mengine ya kufanya mbali na mapenzi? Jiulize kwanza, una nyumba ngapi mpaka sasa? Unatembelea miguu minne ama miwili? Wanao je, wanapata elimu mahali pazuri? Je wanalala...
20 Reactions
95 Replies
6K Views
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
21 Reactions
169 Replies
14K Views
Katika maisha nimeamini kuwa siyo kila kitu ambacho unaweza kukipata hata kama utafanya nguvu vipi ni lazima utabaki kukiona kwa wenzako tu. Nataka niongee kuhusu mapenzi, katika watu ambao...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom