Anadai ana mimba yangu lakini haeleweki

Anadai ana mimba yangu lakini haeleweki

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,613
Tunaonana kwa nadra sana yani once pa month, hataki niguse simu yake, hataki nijue anapoishi, hataki nimhoji anapanic.

Nafsi inanisuta sana kwakuwa sipendi kuikana damu yangu but kwa the way anavyonifanyia nimeikataa tu potelea mbali.

Awali nilikuwa na access ya kuishika simu yake naye kushika yangu wakati wowote but sikuhizi imekuwa tofauti

Nikatamani kujua iliingia lini na kumhoji hivyo[emoji116] but ikawa shida.
View attachment 2481011
 
Usijali subiri mtoto akifika miaka 30 ana kazi yake hakupi matunzo umlaani. Yaani kosa la kumkana wala lisikutishe. We tulia mama ake amtafie Baba. Akishapata kazi mbeleni huko mtafute mwambie we ndo baba ake akikataa muachie laana
Sina njaa na wala sitegemei mtoto aje anisaidie 30 yrs letter.

Sitakuwa hai na kama hai nitakuwa nimechoka sana
 
Kabla ya kupewa hukujua hayo? Ungeikataa mbsusu kabla. Haya yote ya sintofahamu, yasingekukuta. Hapo hekima inatakiwa, mbane ujue ni yako ama unabambikiwa tu.
 
Back
Top Bottom