Kuna kipindi niko Dar nilifahamiana na binti mmoja alikuwa anasoma UDSM (tumwite Jane siyo jina lake halisi) na mm pia nilikuwa nasoma hapo. Sasa yeye alikuwa na changamoto flani iliyomsumbua sana...
Kuna demu nimemtongoza leo leo na kwa bahati nzuri amekubali ila cha ajabu ameshaanza kuniambia mambo ya kwenda kujitambulisha kwao yaani sijachukuwa hata point 3 zangu tayari anataka niende...
Ni sikitiko la nchi kila mmoja wenu anadai anamtaka anayedate naye awe Tall, Black and Handsome pasipo kujali vitu vya maana kama Ucha Mungu, Heshima, Upendo, Kuwajibik , Uvumilivu.
Tafiti...
Hello.
Single mother moja kwa moja jamii inawaona kama ni watu wapambanaji sana.
Ila niseme Singo mama wengi kwa sasa ni moja ya njia ya Udangaji.
Haiwezekani kabisa mwanamke mwenye Tabia na...
Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni...
Kutokana na wimbi hili kuwa kubwa la hawa binadamu ambao wakiulizwa maswali kuwa kama wanawapenzi .....?
Hili jibu la kuwa wapo single na wanafuraha ni Uongo mtupu. Eti "Single and happy"...
Hello.
Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida.
Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar.
2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT.
3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia.
4. Napenda kufurahi, kujifunza...
Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria...
Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake.
Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu...
Hello,
Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.
Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.
Kuna wimbi...
Heshima mbele Wana jamvi.
Hope wote mpo salama kabisa.Moja Kwa Moja niende kwenye mada, Kwa kifupi ni kwamba mwaka Jana mwezi wa pili nlikutana na mdada mmoja hivi ambae single mama wa mtoto...
Kweli sijui nyie ila kunawatu wanajali familia zao .sijamaanisha watoto na mke na maanisha baba na mama maana. Huwezi penda mzazi mmoja , .
Kila siku naandika Hivi mama anazaa Kwa uchungu analea...
Wajameni tusaidiane
Huwa nawaza sipati jibu, kwanini ni rahisi kwa wanawake/wasichana kukaa bila nguo hata moja wakiwa pamoja vyumbani au mabwenini ila ni ngumu kwa wanaume/ vijana wa kiume kukaa...
Alioa 2021 nilikuwa mwenyekiti wa kamati kwenye harusi yao lakini pia nilishiriki kupeleka posa kama mshenga. Mtoto ni mzuri sana kwao ni Singida japo born town wa jiji la dar Es salaam, singida...
Nahisi mapenzi yameanza kunichosha sasa. Nimeanza ku-block namba za wapenzi wasiojua kuandika sms.
Hivi mnawezaje ku-date na mwanamke ambaye hajui kutofautisha matumizi ya "r" na "l" katika...