Utakuja kuijua tabia ya mke wako endapo utamuoa

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Habari.

Matarajio ya maisha tofauti na uhalisia wenyewe.

Ukitaka kujua rangi zote za mwanamke ,tabia zote zuri na mbaya usizingatie sana kwenye mahusiano maana hapo kuna kuwa na unafiki fulani ,

Ila Weka ndani kaa nae mwaka hadi miaka mitano baada ya hapo nadhani utakuja kutupa mrejesho yaliyomo yamo au umeuziwa mbuzi kwa gunia.

Mwanamke anatafuta ndoa kwa nguvu sana na anakuwa hyper sana,hasa akizingatia umri, pressure kwa jamii na ndugu,matarajio ya maisha baada ya kuoa, mwingine kuifanya ndoa kama plan b.

Hivyo ni rahisi sana kuonyesha tabia za utulivu katika kipindi hiko.

Ila MUOE UJE UTUPE MREJESHO.
 
Jiepushe na tego la madada poa.
 
Anaoa malaya halafu anatupigia kelele hapa. Mtu anaokoteza mke kidimbwi ana akili timamu kweli huyu?
Ukute wewe mwenyewe ndo kicheche wa kidimbwi kutwa kumpiga mumeo.

Ujuaji una wajaa sana wanawake dizain zenu
 
Inasemekana (lakini) kwamba mwanamke ukimuoa, AKIZAA anabadirika sana. Moja ya mabairiko hayo ni KUTOKUKUZINGATIA NAKUKUJALI SANA WEWE MUME WAKE, MAHABA YOOOTE ANAHAMISHIA KWA MWANAE.
 
Usiingie kwenye ndo ukiwa na assumptions zako..
 
Back
Top Bottom