Kuna mtu nampenda lakini nashindwa kumwambia

Kuna mtu nampenda lakini nashindwa kumwambia

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,432
Kuna mwalimu ninaposoma nimetokea kumpenda sana lakini siwezi kumwambia, hata yeye pia nimegundua ananipenda lakini hayupo tayari kuniambia nimemuonyesha kila dalili kama nampenda lakini hataki kuonyesha kama ananitaka sasa nimechoka kuonyesha vitendo tu lakini mwenzangu hanielewi.

Sasa nataka nimchukie nisimpende tena nimtoe moyoni kabisa, lakini nashindwa kwasababu muda mwingi namuona na kuna vipindi ananifundisha mimi peke yangu lakini na mlipa. Ombi langu kwenu mnipe mbinu jinsi ya kufuta hisia zangu kwake. Ni issue ya kweli

Msaada wenu wa kimawazo utanisaidia mno.
 
Kuna mwalimu ninapo soma nimetokea kumpenda sana lakini siwezi kumwambia, hata yeye pia nimegundua ananipenda lakini hayupo tayari kuniambia ...nimemuonyesha kila dalili km nampenda lkn hataki kuonyesha km ananitaka...sasa nimechoka kuonyesha vitendo tu lakini mwenzangu hanielewi..

Sasa nataka nimchukie nisimpende tena nimtoe moyoni kabisa, lakini nashindwa kwasababu muda mwingi namuona na kuna vipindi ananifundisha Mimi peke yangu lakini na mlipa...

Ombi langu kwenu mnipe mbinu jinsi ya kufuta hisia zangu kwake....
Ni issue ya kweli msaada wenu wakimawazo utanisaidia mnoo
Badilisha utaratibu wa kukaa anapokuwa anatufundisha, weka nyuchi ikae wazi
 
Usikubali kujidhalilisha kwa kumpa 'signs' na kusoma'signs' ambazo zinaweza kukudanganya umesomeka kumbe ticha anabaki anajiuliza 'huyu vipi'?

Some of these professions are bound by ethics that could easily imprison a teacher.

Afu kumbuka, it can affect your studies. Na hili ndo kubwa.
 
Back
Top Bottom