Habari za leo wanajukwaa. Ki ukweli mimi sio mwandishi mzuri kama Mzee Deepond na wengine lakn natumai ujumbe utaeleweka.
Binafsi tulizaliwa wawili tu kwenye tumbo la mama yangu. Baba yangu mzazi...
Habari wakuu
Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa...
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana.
Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia...
Muafaka
Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu.
Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua.
Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa...
~ Uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45.
~ Uwe tayari kwa familia.
~ Usiwe mlokole au msabato.
~ Uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha.
~ Usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa...
Kuna sababu nyingi ambazo husababisha wanandoa kuvurugana, Ila uchoyo ubahiri ubinafsi na mambo yanayofanana na hayo husababisha mivurugano.
Kwa kawaida wanaume ni rahisi sana kutamani ngono...
Wakuu swalama
Binafsi katika maisha yangu ya uchakataji wanawake zaidi ya Yutong 2 sijawahi kuchakata demu mnene iwe sana au wastani.
Sasa hivi karibu nimepata pisi ila ni bonge wa wastani...
Ndoa ni hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke na kutengeneza taasisi ndogo ambayo ni familia. Malezi ya familia ndiyo chanzo cha taasisi zingine na jamii au taifa kiujumla...
Wasalaam JF
Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili...
Wanawake sasa wanaona kuhongwa ni haki yao. Kupewa pesa imekuwa ni lazima, usipowapa pesa wanakuacha na kukupa majina yote mabaya.
Yaani naanzaje kukupa wewe pesa kisa tu mbususu?
Kila mtu...
Leo nilihudhuria leaders pale.
Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon [emoji125]. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri...
Habari.
Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki.
Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini?
Tafuta muda pitia hoja...
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda.
Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka...
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu...
Salaam JF
Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez...
Ukiona umekataliwa na mwanamke/mwanaume usihuzunike wala kukata tamaa, Maana hujakataliwa wewe (as a person) bali imekataliwa ofa yako uliyo toa.......,
wanajamvi pole na majukumu kwenye mada tafadhari
wakati wa mizunguko yangu ya hapa na pale nimekutana na mzee age kama 88 anaonekana kuchoka sana katika maelezo ametembea km 15 mavazi yake...
Unaweza kuwa mzuri na mwenye fadhili na bado ukasema HAPANA kwa watu.
Neno HAPANA ni sentensi kamili inayojieleza. Hauhitaji ueleze kwanini hautalala na mtu asiye mume ama mke wako.
Sio lazima...
Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia...
Salaam JF,
Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu...