Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama...
Hivi kati ya wanawake hawa ninani ambaye anaweza kuwa mke bora kwangu
Wa kwanza ni mwanamke ambaye tuseme mauzo ni mtu wa ma showoff saana
Uzuri wa huyu mwanamke anajua kumtunza mwanaume saana...
Wakuu wasalaaam,
Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu.
Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja.
Umri wangu ni 38.
Kwa taarifa zaidi karibu sana...
Wakuu,
leo Naandika kwa uchungu Sana,
Hivi karibuni Nilikua Kwny msiba wa mfanyabiashara mwenzangu alifariki.
Baada ya msiba kimekaa kikao Cha mirathi.Kama marafiki na washirika wa karibu wa...
Habari za muda huu wapendwa katika bwana,natumaini nyote mu wazima.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo mchana katika mizunguko angu ya hapa na pale nkakutana na demu ambae niliwahi kumfukuzia...
Leo tarehe 13 mwezi February ni Valentine's day maalum kwa wale ambao kesho hawawezi kuwa pamoja; michepuko, wapenzi wa siri nk. Kesho ni kwa wale wapenzi rasmi.
Hasa kama kesho una mpenzi rasmi...
People always going on about how women are hypergamous and expect a super high income bla bla bla - only true if you live in a third world country. You know what's rarer than money in the west...
Kwanini wanakata viuno na wanafundishwq kukata viuno msingi wa hizi trainings au mafundisho ni nini? Tusipoteze nguvu sisi tutafute pesa wao waburudishe naongezea hapa chini maelezo.
Katika akili...
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana...
Wasalaam JF
Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki...
LIKE is skin deep. LIKE leads to sex with no commitments. They leave you after sex. When you LIKE someone, moving on is a piece of cake. Their absence in your life doesn’t make much difference...
Way back nilimpenda sana nilionyesha wazi, lakini alikuwa mguu nje mguu ndani kwamba ningemchezea, ilinivunja moyo na toka hapo mawasiliano yalipungua.
Simu sometimes sipokei, sms sijibu au...
Leo baada ya kutoka kazini , au uko home? Uko single na Una ki alf 30000 au 50000 chako mahalii ...
Amka, oga vizuri, vaa nguo nzuri upendezee sana , vaa na high hills matata kulingana na hako...
Nianze na ujumbe Mtunzi Daughtry:
You and I, right or wrong
There's no other one
After this time spent alone
It's hard to believe
That a man with sight could be so blind
Thinking about the better...
Baada ya kurudi toka USA nikiwa sina kitu,kazi ya kwanta ilikuwa kutafuta shughuli ya kufanya.
Rafiki yangu mmoja tuliyesoma nae High School alikuwa tayari ni boss kwenye kampuni moja ya simu za...
Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao...
Habari Wanajamvi.
Napenda kufahamu kama kuna uwezekano wa kubaki katika zone ya urafiki baina ya Mwanamke na Mwanaume, like real non Sexual. Kama inawezekana kivipi? Kama haiwezekani why...
Kwa wale vijana wenzangu ambao 2023 mna mipango ya kuoa kama unajiona Hali yako ya kiuchumi haieleweki achana ndoa na kataa ndoa
Yaani mwanangu asikwambie mtu ukiwa huna kitu mwanamke...
Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza...