Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda Huu wakuu. Mwanzoni mwa mwaka Huu nilikuwa natokea moshi kwenda arusha nakumbuka nilikuwa nimepanda basi la lim safaris, akaja mdada mmoja akakaa karibu na siti niliyokaa mimi...
8 Reactions
261 Replies
26K Views
Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu...
7 Reactions
97 Replies
5K Views
Greetings All Et wasichana/kina mama ,wakati wa sex mnapenda ifanywe kama mnaadhibiwa na kugeuzwa geuzwa kwa kila namna au mnapenda tu soft ya kiutu uzima [emoji23]kifo cha mende basi ? Make kuna...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Kaka na dada zangu, mama ba baba zangu, mliopo kwenye ndoa na msio kwenye ndoa. Nimekuwa ni ki post nyuzi nyingi sana apa JF. Lakini Kuna kitu kina nisibu apo siku ya kesho nitashusha uzi...
1 Reactions
3 Replies
427 Views
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019 Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana...
16 Reactions
95 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, asanteni wote mliopitia uzi wangu uliopita na mkanishsuri vizuri na wengine mkaniponda, vyote vimenijenga asanteni sana wote. Nimefikiria nahitaji niitafute damu yangu, je...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Not everyone deserves equal rights. Not everyone should have kids. Not everyone should get married. Not everyone will end up with a life partner. Not everyone will die young. Not everyone will die...
1 Reactions
24 Replies
906 Views
Naombeni ushauri nifanye nn, Na chuki na Wanawake, AKil yangu nahsi inaharibika, nisaidie nipate msaada wa kaisaikolojia Moyon naumia sana wakuu wangu
2 Reactions
6 Replies
522 Views
Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?✍🏼✍🏼
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake...
2 Reactions
5 Replies
594 Views
kwa mtazamo wangu, naona wanawake wengi wanaridhia kuolewa na mwanamme ambaye tayari ana watoto na mwanamke mwingine, na ni asilimia ndogo sana mwanaume kumuoa mwanamke ambaye ana watoto zaidi ya...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Ninaishi na mke ambae hatujafunga ndoa yapata mwaka sasa, tulikubaliana kuishi kwanza kutokana na yeye kunitilia shaka kuwa huenda nikamchezea na kumuacha, make nilipanga kufunga ndoa 2018, jambo...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Kumlinganisha mtoto na mtoto mwenzake ukionesha kasoro aliyonayo au jinsi mtoto mwingine anavyofanya vizuri humuumiza kihisia na kumfanya akate tamaa ya kufanya vyema kwa kuwa ataanza kuona aibu...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Jana nimekutana na binti mmoja! Binti ambaye miaka takriban kumi na mmoja iliyopita alifunga ndoa ambayo nilishiriki kwa 100% lakini baada ya mwaka na nusu ndoa ile ilivunjika!! Sikujua ni nini...
11 Reactions
74 Replies
9K Views
Kuna watu wanajua kufanya mamboz aisee. Mtoto ni miss fulani hivi mwembamba yaani, mweupeee ila anabalaa. Mtoto anajua hadi nasema huyu hana tofauti na Messi kwenye football. Nilipelekwa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya kautafiti fulani siyo rasmi sana. wasichana wengi wanajifungua nje ya ndoa- wakiwa mtaani, shuleni, kazini, mchepuko, vyuo vikuu n.k. Nisaidieni chanzo cha haya masuala na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Usitupe mtoto chooni, usikinyonge kichanga chako, usitoe mimba, na siku zote mlee mwanao vizuri kwa uangalizi na umakini wa hali ya juu. Huwezi kujua huyo ni nani. Muda ni shujaa wa kweli pale...
9 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Ngoja niende moja kwa Moja kwenye maada yangu. Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 32. Nilimaliza chuo miaka kadhaa huko Nyuma. Miaka imekwenda miaka inakimbia...
12 Reactions
77 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…