Kesho nitaandika thread ya kuomba ushauri wenu, naomna mniokoe

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Mar 4, 2023
130
263
Kaka na dada zangu, mama ba baba zangu, mliopo kwenye ndoa na msio kwenye ndoa. Nimekuwa ni ki post nyuzi nyingi sana apa JF.

Lakini Kuna kitu kina nisibu apo siku ya kesho nitashusha uzi mnishauri kama mdogo na mtoto wenu. Muokoee nafsi yangu mana nipo hatua mbaya sana.
 
Back
Top Bottom