Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Za Saa wanajukwaa. Poleni na Majukumu ya kila siku katika Ujenzi wa Taifa na Ustawi wa Maisha. Ninashukuru kwa Michango na Mawazo mbali mbali ambayo tumekua tukipeana na Kushrikishana...
4 Reactions
167 Replies
32K Views
Habari zenu wakuu Vijana wengi na wazee tumekumbwa na hali ya kujchua iwe kwa mwanamke au mwanaume,kila mtu ana mkasa wake ilkuaje akaanza kujchua Huu mkasa wangu. Mwaka 2022 Januari ktk...
10 Reactions
319 Replies
21K Views
Heloo! Wapendwa leo naomba niongelee usafi wa towel hasa za wanaume maana nina imani kuwa wanaume wote wanatumia towel baada ya kuoga na wanawake wengi ingawa si wote tunatumia kanga/kitenge...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana jamii salaam: Nianze kusema kuwa alichounganisha mungu hakuna wa kukitenganisha. lakini pia kama ndoa ipo, ipo tu hata kama kutatokea vikwazo gani itafungwa tu. Leo nimeona niwahusishe...
3 Reactions
85 Replies
8K Views
Leo nimeamua kujiripua aseee!Ni hivi sijawahi kuona bikira wala kusikia maumivu yake. Tiririka nami. Mimi ni msichana mzuri tu niliyelelewa kwenye maadili, sio maadili tu nadhani pia ni aina ya...
25 Reactions
285 Replies
16K Views
Habari. Samanini kwa kuwasumbu tena, ndoa yagu inamigogolo kwa wiki mbili sasa mke wagu mdogo amekuwa akinipa tendo la Ndoa kwa masimango. Nawomba niseme ukweli tu kwani naamini kuna wakubwa...
7 Reactions
87 Replies
6K Views
Ukiwa na elimu na pesa, mwanaume atakushinda nini? Tabia ya utegemezi imetufanya tuwe watumwa, tudhalilishwe na kudharauliwa. Ukiwa na elimu yako na pesa zako unatanua wigo wa uhuru wako...
19 Reactions
253 Replies
21K Views
Watumai hamjambo wanajamvi Wakuu mara moja moja hua napania game hasa za away hivo hujikuta nafanya maandalizi ya show ya kibabe kwa kufanya yafuatayo: 1. Natafuna karanga robo/mbegu za maboga...
17 Reactions
307 Replies
83K Views
Mara nyingi siku za weekend nilikiwa napenda kushinda home tu hadi mara nyingine nikawa nazodolewa na wazazi pia mashkaji kuwa nichangamke nakumbuka siku moja ilikuwa ijumaa nilikuwa na girlfriend...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Huyu binti niliwahi kuanzisha nae mahusiano dakika za mwisho mwisho wakati nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza mwaka wa tatu chuoni (UE) Wakati naingia nae kwenye mahusiano yeye alikua anasoma...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Acha kuhamasisha mila za Kizungu za Uzinifu/ mahusiano ( girlfriend na boyfriend) kwa kuwa zinamdhalilisha mwanamke. Na kupitia huo Uzinifu ndipo Wazungu wakaja na mawazo ya kuwa mwanamke...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Je Kuna kosa gan kutaka kumtafuta ex girlfriend wako, Kwa amani tu Kwa lengo la kumsalimia baada ya yy kukuacha kwa Muda mrefu????
1 Reactions
19 Replies
958 Views
Za asubuhi ndugu! Vijana wa kiume, aged 18-45, tafadhali naomba msikie maneno haya. Nimekuwa interested kuandika kwa kuona kwa macho manyanyaso mengi wanayopitia wadogo zetu na ma broo mtaani, na...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori. Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi...
16 Reactions
91 Replies
7K Views
Kuna Jirani yangu ana mtoto wa miaka mitano ni wa kike. Ni mtoto muongeaji afu ni mchangamfu Sana, tumezoeana Sana nikirudi kwenye mishe mishe au nikienda dukani lazima nibebe zawadi kwa ajili...
8 Reactions
93 Replies
5K Views
Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni...
12 Reactions
211 Replies
11K Views
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri. Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Pasi na kupoteza muda, wanawake wamekuwa viumbe wa hovyo kabisa, viumbe wasio na shukrani Wala huruma, viumbe wa binafsi wenye roho ya uuaji. Viumbe hawa wanasababisha misongo ya Mawazo na...
15 Reactions
45 Replies
3K Views
Ifikie wakati wanaume tujitambue tusiendeshwe na mihemko ya wanawake . Mwanamke anataka ushinde juu ya kifua chake zaidi ya masaa matano kwani sisi ni PUNDA nauliza?? Kila mbuzi ale Kwa urefu wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa...
40 Reactions
95 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…