Nilitia aibu club mbele ya girlfriend wangu

Al-Hadidy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
1,413
Reaction score
3,078
Mara nyingi siku za weekend nilikiwa napenda kushinda home tu hadi mara nyingine nikawa nazodolewa na wazazi pia mashkaji kuwa nichangamke nakumbuka siku moja ilikuwa ijumaa nilikuwa na girlfriend wangu hivi alikuja home akidai siku hiyo lazima nitoke twende club,kishingo upande nikakubali kutokana na kumkubali bidada.

Mida ya kama saa 2 hivi tulitoka nikiwa katika maisha yangu ndo mara ya kwanza kwenda club iIle kufika ndani ya club kuangalia juu na zile taa zinavyowakawaka na kubadilika rangi zikanitia kizunguzungu na nikadondoka chini na kuzimia baada ya muda nilizinduka nikawa nimezungukwa na watu full kuvunjika mbavu akiwemo gf wangu na rafiki zake wakiniona mshamba,kwa hasira nikaondoka haraka kurudi home.

Sitaisahau hii siku ilinivuruga akili.
 
Hongera
 
KUNA KITU UNAFICHA SEMA ULILEWA SAAANA BHANA HUWEZI KUANGUSHWA NA TAA ALONE
 
Id mpya, na hii ndio thread yako ya kwanza. Karibu JF mkuu kama ni mgeni kabisa kabisa
 
Unaonekana bado mdogo kiumri
 
Nikajua bonge la story kumbe chai tu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
sema ukweli, ili tukusaidie usije kukumbwa na aibu kama hii
 
Kipindi hicho ulikuwa na umri gan na kwa sasa una umri gan?
 
Back
Top Bottom