Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,707
- 6,505
Eid mubaraka wanajamvi....
Iko ivi nina mademu watatu kila moja anaplay nafasi yake bila kujuana..
Shida inakuja kila mmoja anataka nimuoe au nimzalishe mi nawaambia muda bado na sijajipanga ivo akisubutu kushika mimba yangu ndio tiketi ya mahusiano yetu itaishia hapo... wanabaki kuumia nakushangaa mi ni mwanaume wa aina gani na kusema simpendi (kila mmoja ndio mtazamo wake)
Sasa ni mda wa ka wiki mbili ivi kila demu ananiambia anajaribu kuniacha lakini wanashindwA wakiona simu yangu tuu au namba yangu wanaishiwa nguvu na kujikuta ka mbwa mbele ya chatu mwenye njaa...
Sijajua hii ni ishara gani kwangu kwamba niachane nao mi mwenyewe tuu maana uwezo huo nnao au vip??
Swali kwa kinadada ni kweli unaweza ukawa na mtu akuhongi wala nini ukampenda kushindwa kumuacha au hawa ndugu zenu wanani ektia??