Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hiki kisa naeleza hapa ni nyakati zili kwisha kuyoyoma. tangu enzi za elimu yangu ya msingi nilikuwa natumia mmea wa uzima, yaani kilevi Cha bangi. hii ni kulingana eneo la jeografia niliyo...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinacho umiza moyo kama kumpenda mwanamke zaidi ya anavyo kupemda. Mwenzenu Mimi nimewahi kumpenda mwanamke mmoja kipindi cha nyuma hapo mpaka nilifikia hatua nisipo muona nyumbani...
4 Reactions
5 Replies
684 Views
Mimi nipo hapa dar na natafuta mpenzi wa kike ambaye anaweza kuwa mke wangu, umri wake usizidi miaka 50, umri wangu ni miaka 55. Tuwasiliane PM.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu.. Nahitaji kubadilisha godoro nililo nalo kwa sababu linaumiza sana mgongo wakuu inafika mahali unalala inabidi uamke katikati ya usingizi uanze mazoezi ya kunyoosha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote. Wenzako hatutaki kufa kwa stress...
11 Reactions
159 Replies
8K Views
Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. USAFI BINAFSI Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu...
7 Reactions
87 Replies
38K Views
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia...
22 Reactions
190 Replies
18K Views
Wasalaam.. Nimekaa zangu gheto sielewi, mikeka inachanika nikakumbuka siku moja nlikula mbususu kwenye mazingira ya hatari sana. Ilikua nimetoka club mida ya SAA nane hivi kuna manzi akaniomba...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Nilikuwa sitaki kuingia kwenye huu mjadala wa Nan mwenye akili kati ya mtanzania na mkenya ila Sasa inanilazimu niingie kufungua mjadala huu iliodumu kwa muda mrefu. Kuna matukio MAWILI yametokea...
12 Reactions
80 Replies
4K Views
Wa salaam JF Una watoto watatu umri wao juu ya miaka 15. Ukasikia mkeo akisema kuwaambia watoto hana uhakika kama baba ni wewe au sio wewe!! Maneno yakafika kwa ndugu na wazee wa pande zote...
4 Reactions
14 Replies
694 Views
Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa. STORI YA KWELI. Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao...
13 Reactions
542 Replies
15K Views
Habari za majukumu wakuu!! Bila shaka nadhani niwazima wa afya na tunaendelea na pilika pilika za kutafuta mkate wa kila siku , Huu Ni Uzi maalum nimeamua kuandikia Kwa makusudi tu lengo kubwa...
2 Reactions
272 Replies
62K Views
Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani. Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri...
23 Reactions
136 Replies
8K Views
Nina rafiki yangu anapitia mengi nyumban kwako mama yake anamchukia kinyama na anaonyesha wazi kabisa ashawahi kumwambia kuwa yeye n mzigo bora abaki tu shule hiyo n kipindi anasoma hata akiwa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za wakati huu.. Kama kichwa kinavyo jieleza kama ulisha wahi kumla shemeji yako eleza ilikuaje kuaje mpaka ukamla. Mimi ilikua hivi 1: Mnamo mwaka 2017 nilienda kijijini sasa mtoto wa...
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Imeshapita miaka kadhaa nyuma ila kuna post nimeisoma hapa ikanikumbusha maumivu fulani ya moyo niliyowahi kupata hapo nyuma Miaka ya nyuma nikiwa na rafiki zangu kama wa nne tumeshibana gafla...
27 Reactions
131 Replies
14K Views
Salaam, Ndugu Wana jamvi naomba niende kwenye mada. Kwenye michepuko huwa tunapata nafasi ya kujifunza vitu vingi pengine mume au mke unaeishi nae huenda akawa havifahamu. Mfano wa vitu...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
NALIA NGWENA Huwa najikunja haswa kufidia vitu vyangu nilivyonunua kama gharama za kijola kusuka pesa za bando vizinga vidogo vidogo nk. Kila nikifikilia hizo gharama ndiyo napata hisia mno...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…