Ni changamoto gani ambayo umewahi kupitia katika mapenzi?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hakuna kitu kinacho umiza moyo kama kumpenda mwanamke zaidi ya anavyo kupemda. Mwenzenu Mimi nimewahi kumpenda mwanamke mmoja kipindi cha nyuma hapo mpaka nilifikia hatua nisipo muona nyumbani kwao Na zunguka Kijiji kizima kwenda Na muulizia tu labda Kuna mtu yeyote kumuona Mahali aniambie.

Nilikuwa Na wivu wa kupitiliza mpaka nilikuwa nakera. Siku ambayo alikataa nilipatwa Na ugonjwa wa panick attac kwasababu ya mawazo nilikuwa kama kichaa.

Kwasasa sinaga moyo Tena wa kupenda
 
Ila huyu ndugu yetu wa zambia kazidi
Screenshot_20230530_142844_com.instagram.android.jpg
 
Unatakaa kupenda Ili ugundue nn Tena mkuu km ulishapenda ukatendwa hapo awali..
 
Hakuna kitu kinacho umiza moyo kama kumpenda mwanamke zaidi ya anavyo kupemda. Mwenzenu Mimi nimewahi kumpenda mwanamke mmoja kipindi cha nyuma hapo mpaka nilifikia hatua nisipo muona nyumbani kwao Na zunguka Kijiji kizima kwenda Na muulizia tu labda Kuna mtu yeyote kumuona Mahali aniambie.

Nilikuwa Na wivu wa kupitiliza mpaka nilikuwa nakera. Siku ambayo alikataa nilipatwa Na ugonjwa wa panick attac kwasababu ya mawazo nilikuwa kama kichaa.

Kwasasa sinaga moyo Tena wa kupenda
(1)Kuitwa mchawi,nanukuu"nakwambia Fulani(jina la mtoto wake)humuwezi kwa uchawi wako analindwa na Mungu.
Yaaani kosa langu NI kusali makanisa ya Kiroho.
(2)Kupanga mipango ya Maisha halafu kesho usiku akirudi anakwambia washauri wangu wamenishauri hivi na vile(mipango yenu hapo imepelekwa kwa rafiki zake na mlivyopanga wamepangua)
(3)Ushauri wowote wa kimaendeleo kukataliwa huku kipaumbele NI kuhonga wanawake na pombe.
(4)Dharau na maneno ya kashfa.
Haya mambo,haya yalinijengea chuki Sana ndani ya moyo wangu mpaka nikawa najitizama kwenye kioo Mara kumi kumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom