Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
"Kipendacho roho hula nyama mbichi" Kila mtu/ binadamu hufurahia tendo la ndoa anapokua na mtu ampendae. Binafsi NALIA NGWENA ninapokua na date na msichana(mwanamke) wa hivi moyo wangu hufurahia...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu. Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto...
3 Reactions
95 Replies
7K Views
Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa π—£π—¨π—‘π—¬π—˜π—§π—’; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kukicha utasikia mikasa ya ubakaji na unyanyasaji. Hivi kwanini ufikie hatua ya kubaka? Una ugonjwa wa akili au unatumia bangi? Wanawake wamejaa na wametuzidi hata kwa idadi kwanini usiombe...
1 Reactions
2 Replies
876 Views
Fanya mazungumzo yenu yawe rahisi. Fanya mnapokuwa pamoja iwe rahisi kwako na kwake. Fanya ajihisi maisha yake ni rahisi akiwa na wewe. Simaanishi kifedha. Bali kihisia kwa kujiachia na kutokua...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakubwa na wadogo ninakuja kwenu kwa unyenyekevu mkuu nikiwaomba ushauri. Binafsi nikijiangalia umri unakimbia sana kwa umri wangu huu kuna rafiki zangu wana watoto hata wanne ila mimi sina hata...
7 Reactions
131 Replies
7K Views
Za masiku! Hivi kuwa na mahusiano na mke wa jirani yako ni dhambi? Ni dhambi kwa sababu umezini! Je, kulala na mwanamke asiye mke wa mtu ni dhambi? Kwa nini Yuda hakupigwa kwa mawe ila badala...
1 Reactions
1 Replies
753 Views
Hizi ni baadhi ya kauli za wavulana juu ya single maza "ukioa single Maza ukae tayar kuchapiwa", "single Maza sio WA mtu mmoja",,, "single Maza ana wakwe pande mbili na mawifi pande...
26 Reactions
218 Replies
15K Views
Habari wana jamvi Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Niende kwenye mada. Aisee leo nimezunguka sana kwenye hizi pharmacy zetu za mtaani lengo tu nipate kununua kinga "zana" kwaajili ya shemeji yenu, lakini mpaka muda huu naandika huu...
14 Reactions
104 Replies
5K Views
Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho. Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kutengeneza ama kuamsha hisia za kingono mpk kufikia hatua ya kujiridhisha bila kutumia tupu za jinsia nyingine ndiyo huitwa punyeto (masturbation). Kwahiyo hata wale wanaotumia dildos ama...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna kauli mbali mbalii unaweza tamkiwa na mpenzi wako ambae unampenda sana na ikakuumiza JE NI IPI KATI YA KAULI HIZI ILICHANA MOYO WAKO, UTUPE NA KASTORI KIDOGO JU YA KAULI HIYOOO ,,,,,, NENO...
13 Reactions
254 Replies
11K Views
Wakati mwingine maisha yanakosa definition kabisa sijui kama kuna mtu mwingine imewahi kumtokea kama mimi, binafsi kipindi sina mpango wa kuoa nlikuwa na marafiki kadhaa wa kike tukisaidiana...
17 Reactions
135 Replies
9K Views
1- Treat her like an Option 2- Ask for her friend's social Media 3- Ignore her Post and Stories 4- Dont allow yourself to get too invested 5- Always be Willing to walk away from Her 6- If...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Ebwanaa sasa hivi ni saa 10 alfajiri niko zangu Mkoani huku. Ghafla usingizi ukakata usiku huu, ile kushika simu nakutana na missed call kama zotee za ndugu "Usiku huu wote wanataka nini, au...
22 Reactions
223 Replies
61K Views
Good morning watu wa Mungu. Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali. Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa...
12 Reactions
187 Replies
12K Views
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana. Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo...
13 Reactions
75 Replies
7K Views
Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje...
2 Reactions
2 Replies
865 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…