Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mlio kwenye ndoa nadhani mnapitiaga kipindi kama hiki, unakuta upo na mkeo usiku ghafla nyege zimepanda, kirungu, kinatamani kupiga. Ile unamshikashika mpenzi wako unajibiwa baba naniii na wewe...
22 Reactions
94 Replies
8K Views
Natumai mu wazima Nimesafiri tangu saa 8 ya leo mchana namuda huu nipo Ujerumani,lengo ni kwenda kujifunza Ilmu mpya na maarifa mapya... Tumeimizwa tusiiacha ilmu iende zake.. hivyo nipo German...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Manzi hakuna anacho offer kwenye hili penzi zaidi ya mbususu. Kiufupi hana mchango wowote, kila kitu nakamilisha mwenyewe na ninamkamilishia ya kwake. Sasa siku za hivi karibuni kaanza...
22 Reactions
51 Replies
4K Views
Wengi huchukulia mafanikio ya kiuchumi kama baraka kubwa kuliko zote.. Kuna waliobarikiwa elimu lakini uchumi mbovu... Familia nzima imejaa wasomi tena wa kaliba mbalimbali lakini maisha yao...
46 Reactions
78 Replies
12K Views
Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu...
12 Reactions
105 Replies
51K Views
Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hasa kipindi cha baridi au unaposimama, uume unakua wa moto sana, kama vile sehemu ya shingo mtu akiwa na homa, ila hauumi, je hii ni kawaida?
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Ukiona mtu yuko kwenye ndoa miaka zaidi ya mitatu basi.. Itoshe tuu kusema ndoa inahitaji uvumilivu Ndoa ikikosa uvumilivu ni kama vile mikono na miguu kwenye gari vishindwe kuelewana, mikono...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Nami kwa kweli kama huna gari kali hata usinisemeshe. Maana tutatoka out itafika mida ya kutaka kuondoka akili yako inahama inaanza kuwaza kugombea daladala au mwendokasi. Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
14 Reactions
136 Replies
9K Views
Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa...
1 Reactions
10 Replies
936 Views
wrong quote
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Mademu wengi nakutana nao wananing'ang'aniza nimwagie ndani. Wanapenda sana. Nadhani kuna raha wanapata... Ila sasa nawaambia mapema kabisa. Habari za kusema. "nina mimba yako" nitakuambia iwache...
25 Reactions
163 Replies
18K Views
Vijana wengi kwa sasa mtizamo wao ni kwamba kuoa ni mpaka 30 yrs huko, hapa katikati ni katika kutafuta pesa za kuja kutumia na huyo mke utayemuoa at 30. Tupo sahihi kweli? Na wakati huo unayemuoa...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni Jumatatu njema! Mfungo mwema kwa ndugu Waislamu!. Vijana mimi huwa nawachora sana! Nawaangalia tokea mbali mno mnavyodanganyana kuwa ukioa muda wowote utakaotaka tendo basi ni kufunua tu sketi...
36 Reactions
145 Replies
10K Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Hate That I Love You" Yeah, yeah Yeah, yeah That's how much I love you (Yeah) That's how much I need you (Yeah, yeah, yeah) And I can't stand you Must everything you do make me wanna smile Can I...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…