Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu...
8 Reactions
53 Replies
7K Views
Kulikuwa na wapenzi wawili, Adam na Eva, ambao walipendana sana. Walikutana katika mazingira ya kuvutia, wakiwa na utofauti mkubwa katika tabia zao, lakini wakilingana katika hisia za upendo...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza. Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki...
19 Reactions
88 Replies
8K Views
Nimekuonyesha mapenzi yangu yote. Kama kukugharamikia nimekugharamikia hata Kwa vitu vingine visivyokuwa na msingi lakini Bado huna shukrani kwangu. Nilijitoa Sana kwako Hadi kukulipia Ada usome...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Ni hivi, nina mke na mtoto mmoja. Katika maisha yangu nimekuwa vizuri katika swala la kuzagamuana alaf napenda sana huo mchezo. Sasa mke wangu kaanza kuumwa mwezi wa nne kiasi cha kushindwa...
3 Reactions
9 Replies
808 Views
Habari wakuu Nimemtongoza huyu binti ila kagoma kutoa jibu kabisa kama amenielewa au la hasha, ila kila nikirusha nyavu zangu kwa lengo la kumkumbushia kuwa na muhitaji awe mpenzi wangu...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Mimi ni mfanyakazi katika taasis binafsi, umri miaka 36, natafuta mpenzi wa kufanya nae maisha awe dini yeyote umri 23 mpaka 45.
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Pesa inaweza kuwa muhimu katika mahusiano ya kimapenzi, ingawa siyo kila kitu. Hapa kuna mambo kadhaa ya kuzingatia: Stahamala kifedha: Kuwa na utulivu wa kifedha kunaweza kuleta amani na uhakika...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndiyooo, ni UKWELI. Unapokutana naye kwa mara ya kwanza huzificha, ila akikuzoea au ukimuuliza kama hapendi au lah atakujibu kama upendavyo. Utasikia ukiniletea nitavaa, au nitavaa kwa ajili...
19 Reactions
36 Replies
3K Views
(Jana Jioni). Huyu mwanamke tumezoeana sana. Mazoea yetu yalianzaia kwenye biashara tu. Kwa kuwa niko mchangamfu na mcheshi, mwanamke huyu kajikuta amezama kwenye dimbwi zito la mahaba Katika...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Awe mwembamba au wa kawaida sawa mweusi mweupe sawa awe simple tuu, miaka kuanzia 18 Hadi 22
1 Reactions
8 Replies
812 Views
Asubuhi hii mie nipo busy . Kutoa hii post maana imeniusu 100% . Huyu kijana nilimpenda alinipenda sana . Ukiwa kijana huwezi ishi na mtu mmoja ila huyu niliishi naye sikuwa na jiibia kwa mtu...
14 Reactions
126 Replies
8K Views
Achana na msemo kuwa "anakujaribu". Kama umejitahidi lakini yeye haoneshi kujali mahusiano, ujue unapoteza muda wako. Unatumika tu kupoteza muda. Pengine ana bwana wake anayempenda zaidi yako na...
20 Reactions
45 Replies
3K Views
Moja ya vitu vigumu kuvielezea mbele za watu ni hisia za upendo. Hata ukimuuliza mtu aliyeoa/kuolewa, sababu iliyomfanya kumpenda mwenza wake, majibu mengi yatakuwa ni kwasababu ni mcha Mungu, ana...
23 Reactions
392 Replies
28K Views
Siku moja, nilikutana na demu mrembo sana kwenye hafla ya kijamii. Jina lake lilikuwa Amina, na alikuwa na macho ya kuvutia ambayo yalinitia moyo kuanza kuzungumza naye. Tulianza kuzungumza na...
2 Reactions
3 Replies
717 Views
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi...
49 Reactions
481 Replies
30K Views
Furushi la nyege ni sawa na kubeba gunia la misumari inayokuchoma mabegani au unaweza kusema ni sawa nakutembea na mkongojo wa muwa anytime anyplace you can nyamnyam!😂 Wale wa no fap mlifika...
14 Reactions
70 Replies
5K Views
Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Palikuwa na kijana mmoja aliekuwa na mpenzi wake, wapenzi hawa wawili walipendana sana. Walipendana mno kiasi kwamba hakuna mfano wa kuelezea juu ya upendo wao. Basi siku moja mwanaume alipata...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…