Sijui tatizo ndiyo hili au kuna lingine?

Sijui tatizo ndiyo hili au kuna lingine?

Mkuna mgongo

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
98
Reaction score
172
Ni hivi, nina mke na mtoto mmoja. Katika maisha yangu nimekuwa vizuri katika swala la kuzagamuana alaf napenda sana huo mchezo.

Sasa mke wangu kaanza kuumwa mwezi wa nne kiasi cha kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hii ikanfanya niwe nalala tofauti na yeye ili kuepuka kishawishi nikamvamia usiku.

Sasa kutokana na nyege kama mjuavyo ulijali huu na nakosa huduma ikanifanya kuanza tabia ya kuangalia sana picha na video za ngono kila siku kabla ya kulala au hata asubuhi mapema kabla ya kuamka. Hii tabia nimeifanya kwa miezi miwili. Sasa mwezi wa sita nkapata mchepuko nkaenda nae lakini nkashangaa wala sikuwa na hamu na haikushtuka mapema.

Nikazuga kupiga piga stories huku nachezea maeneo kidogo kidogo hadi jamaa akasimama. Hata hivyo, nlipiga mashine muda mfupi ambao sio kawaida yangu alaf baada ya hapo ikalala mazimaa...

Sasa hapo ndo sijui tatzo ni hizi picha na video za ngono au kuna zaidi maana imenpa wasi wasi na kukosa kujiamini na hata sitaki mwanamke kwa sasa dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom