Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hodii humu ndani ! Kama kichwa Cha habari hapo juu kinajieleza, ikiwa upo humu na huenda unawaza Kama Mimi unahitaji upate mme Basi karibu Sana. Umri wangu 35 Elimu degree moja, nimejiajiri Hela...
1 Reactions
0 Replies
279 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mkurugenzi Mtendaji (mke na sio mwanamke) anahitajika. KITUO CHA KAZI: MBEYA MJINI Sifa za muombaji: 1. Awe na nia ya kazi anayoiomba sio kujaribu. 2. Umri...
0 Reactions
6 Replies
509 Views
Succeeded,with all thanks Be blessed
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Ahsanteni Nimefanikiwa kupata rafiki mwema mwenye vigezo zaidi ya nilivyoandika. Mungu awabariki
55 Reactions
274 Replies
10K Views
Habari za majukumu, Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye...
22 Reactions
77 Replies
17K Views
Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Holla! i'm a boy age 33yrs old, Muslim, i have one kid. I am looking for a single lady for a serious relationship in the future. She should be between 20yrs and 30yrs old, muslim, with no or...
4 Reactions
8 Replies
726 Views
Natafuta mpenzi Jinsia yangu Me Umri 33 Makazi dar Mpenzi ninayemtaka awe anaishi dar pia. Umri wowote
2 Reactions
16 Replies
884 Views
Mimi ni kijana umri 33 Rangi black Mrefu wastani Nahitaji mwanamke mtulivu aje awe mpenzi tukiridhiana aje awe mke. Makazi yangu dsm
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Hello natafuta sex partner mm ni male niko gongolamboto ke alietayari njoo pm for my number umri usizidi 28 Money involved, no lodge no guest just home room ipo
10 Reactions
71 Replies
3K Views
Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
7 Reactions
88 Replies
3K Views
habari wandugu,nina mwaka wa tatu sasa nipo single lakini nahisi si dhambi kuwa hivi nilivyo,wakati umefika sasa wakumpata mke mwema.najua wapo wadada wazuri tu mbele ya mungu na wanadamu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu. Any age, and gender karibuni. Sina...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya. Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe...
27 Reactions
226 Replies
7K Views
Hellow Niliwai kuleta uzi hapa kuulizia wapemba wapoje Hii ni wakati wangu kwanza kudate na bint wa kipemba na wakiislamu mtumbue ilo huyu mpemba nilimpata katika mizunguko tukaanzisha...
12 Reactions
133 Replies
4K Views
..
1 Reactions
4 Replies
442 Views
Nahitaji Mdada aliyekuwa serious ninayeweza anzisha naye mahusiano ya uhakika. Mwenye umri kuanzia miaka 20-30.
1 Reactions
6 Replies
549 Views
NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…