Am boy aged 25,graduated from moshi university college with DIPLOMA OF COOPERATIVE MGT AND ACCOUNTING,recenty am pursuing BACHELOR OF BANKING AND FINANCE at IFM;Am tall,white weight abt 68...
Nipo Dar ni mwanaume,muhitimu wa chuo 2011(degrii ya 1 ya bank and finance),umri wangu 28 na ninafanya kazi,napenda kuogelea hasa beach,muziki,kusafiri
Sent from my BlackBerry 9700 using...
nadhani eti inaweza fika kipindi ikawa sasa kama unatafuta mke au mume, unaruhusu watu watume CV kama unapo omba kazi,then CV zinapitiwa na mnaitwa kwenye usaili na atakae kidhi...
Pls PM me and i will link you with Smart and intelligent
narusha kama alivyotamka sikunji neno.
age not above 33years old
not too tall no too short,
I mean the lady who you wont be tired...
Natafta mke wa kuoa.
SIFA
.Mweupe
.Urefu kuanzia ft 5-6
.Asiwe mnene sana
.Mkristo
.Elimu kuanzia kidato cha 6
.Awe wa Mbeya au Iringa.
MIMI ELIMU YANGU NI SHAHADA YA KWANZA YA UWALIMU.
Wadau hapa jf nadhani ni wazima. Mimi ni mvulana wa miaka 28. Dini christian(rc). Nimeajiriwa mkoani. Natafuta msichana wa kumuoa, awe na vigezo vifuatavyo: 1. Awe na umri wa kati ya miaka 20-27...
mke mwema anae jituma n mwenye kutambua wajibu wake vyema ktk ndoa na mwenye heshima na hadhi ndie anae hitajika umri 20 mpaka 24 mawsiliano 0752842099 lazima awe mkristo au awe tayari kubadil din
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm...
Wana Jf,
Naomba radhi kwa wale walionitumia maombi yao.Bahati nzuri kabla sijakutana na yoyote nilikutana na college mate tumeanza mahusiano.
ila muwe na subira kama tukishindwana nitarudi.
I'm serious looking for a GIRL of whom shall be my wife in the near future,the girl must beautiful by nature,aged between 23-27,educated one,have true love.Mostly important she must have...
Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa...
Wapendwa wanajamvi mie nlikua nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine hara kupata exactly...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, ni mrefu, mwembamba, maji ya kunde...elimu yangu ni ya sekondari, ninatafuta mchumba ambae tutaoana baada ya kusomana tabia, sijali rangi,dini wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.