Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wapendwa wanajamvi mie nlikua nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine hara kupata exactly...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
umri wangu ni miaka 27 niko chuo kikuu mwaka wa 3,natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu hapo baadae!!!!!!!! yeyote aliye tayari ani PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama heading inavojieleza! Nina 32,businessman naishi kawe dar
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, ni mrefu, mwembamba, maji ya kunde...elimu yangu ni ya sekondari, ninatafuta mchumba ambae tutaoana baada ya kusomana tabia, sijali rangi,dini wala...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwaka huu nimeamua kuspend valentine yang at ma lovely home country,nshachoka na maisha ya abroad,tatizo ntakuwa lonely sana any gal around come on tuspend together,if u ar ready plz reply or pm 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo. awe na miaka kati ya 20-24 awe mkristo elimu kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta Mwanamke, Binti au Msichana, mwenye umri kuanzia miaka 17-25 ambae tukiendana tunaweza ishi pamoja huko mbeleni. Mambo mengine tutayazungumza via PM kwa atakae kua tayali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, Mie nimekuwa katika kutafuta mwenzi wa maisha muda mrefu,na kuna wakati nilikata tamaa baada ya kuwa kila ninayempa proposal yangu anadai yuko na mtu wake. Sasa,wiki...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wadau
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina miaka 31, elimu ya chuo, muajiliwa, sinywi pombe, sivuti sigara. natafuta binti aliyetayari kuanza maisha ya ndoa awe mkristo, elimu ya chuo, umri kuanzia 25 - 28, mwenye vision ya maisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jina langu ni andimile mwambona ni myakyusa wa kyela,,natafuta mwanamke ambaye yuko tayar kuwa na uhusiano na hata ikiwezekana tuwe mtu na mume.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Am a man, aged 32yrs, elimu ya chuo kikuu, na ni mwajiriwa. Nahtaj msichana ambae yuko serious, anaehtaj kuanza familia; umri kwanzia miaka 22-30, elimu kuanzia kidato cha nne. Sichagui dini, cha...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Nini mchango wako kuhusu mapenzi ya watu wa dini mbali mbali..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mjiepusha mambo ya kukutana kimwili bila ya kutumia condom ukimwi hauna baba wala mama.
0 Reactions
3 Replies
756 Views
natafuta bwana age 20 mpaka 30 lazima uwe nahela na kazi u must be good on bed
0 Reactions
64 Replies
20K Views
Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Awe na sura ya kuvutia (namba 8) na rangi ya ngozi asili 2) Elimu kuanzia Masters na kundelea 3) Awe tayari ameamua na kuelewa maana ya kuwa mke 4)...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
HAWE NA SIFA ZIFUATAZO: 1. Awe anapenda mziki na movie not africa magic 2. Awe anapenda kutoka out night siku moja moja 3. Awe sio mweusi, sio mnene na sio mwembaba sana (matiti madogo na ---- la...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Waungwana mnijulishe, nini maana ya HONEY MOON
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa, Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini. Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom