Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

NHIF Kenya yapoteza shilingi Billion 20 Kupitia malipo yanayotokana madai hewa ya Wateja wake Wadau hamjamboni nyote? Taarifa ya ufisadi wa kutisha nchini Kenya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima...
1 Reactions
3 Replies
289 Views
Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na...
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Watu 21 wanashikiliwa baada ya Polisi, Maafisa wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya (NACADA), na Wanahabari kuvamia Baa ya Kettle House na...
1 Reactions
6 Replies
807 Views
Polisi wa kaunti ya Kericho nchini Kenya wako katika uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kutoka eneo hilo aliyedaiwa kumuua mkewe, kisha kuzunguka na mwili huo baa akinywa pombe. Tovuti ya NTV...
1 Reactions
11 Replies
863 Views
Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wafanyabishara wadogowadogo Kenya, maarufu kama Juakali wameungana na kuingia barabarani kuunga kodi mpya ya kwa ajili ya ujenzi wa nyumba iitwayo housing levy. Tukumbuke kodi ndio msingi wa...
1 Reactions
19 Replies
549 Views
Humu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania. Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na...
0 Reactions
70 Replies
2K Views
Uganda has announced the start of construction of the Standard Gauge Railway (SGR) in August, in a decision that revives hope for the extension of Kenya’s Sh327 billion project whose viability was...
2 Reactions
2 Replies
826 Views
Netflix is helping produce three Kenyan movies and will spend Sh33 million to train actors, as part of its investment in local content. The three are in different stages of production while their...
2 Reactions
2 Replies
518 Views
Shilingi inatarajiwa kufunga mwaka wa 2023 katika mbio mbaya zaidi tangu mwaka wa 1993 baada ya mwaka wa machafuko katika soko la kubadilishana fedha za kigeni. Sarafu ya ndani imeshuka zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam. Hata hivyo...
0 Reactions
6 Replies
566 Views
Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
We Did Not Invite Suluhu, Kagame, Museveni...' Ruto On Why Presidents Stayed Away On Jamhuri Day President William Ruto dismissed claims of deteriorating diplomatic relations between Kenya and...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mafuriko nchini Kenya yamesababisha vifo vya watu 170 na wengine zaidi ya 600,000 kuyahama makazi yao tangu kuanza kwa mvua kubwa mwezi Novemba. ---- Floods in Kenya have killed at least 170 and...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Kenya na Umoja wa Ulaya zimesaini rasmi mkataba wa kibiashara utakaoruhusu taifa hilo la Afrika Mashariki kusafirisha bidhaa bila ushuru katika soko la Umoja wa Ulaya. "Makubaliano yanaanzisha...
0 Reactions
2 Replies
615 Views
Habari za hivi punde kutoka Kenya ni kwba askari Polisi wa Usalama Barabarani wote wamabadilishiwa majumu waende kuwa askari wa kawaida. Haya ji moja ya maamuzi magumu ya hawa jamaa aiswe. Hii...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo. Rwanda will join the list of African countries that have successfully...
7 Reactions
94 Replies
4K Views
Back
Top Bottom