Daniel Ogama Adongo, mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL) na raia wa Kenya, amehamishwa kutoka Marekani hadi Kenya na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo baada ya kukiuka masharti ya...
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimeongeza shinikizo la kutaka nafasi ya Naibu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku baadhi ya viongozi wake wakimuunga mkono Waziri wa Ushirika na...
Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amedai kuwa Rais William Ruto anaendesha mkakati wa kumtenga kisiasa Naibu Rais Kithure Kindiki ndani ya serikali ya...
Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance...
Hali ilizidi kuwa ya mvutano katika eneo la Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya wakazi kumkabili MCA wao wakikataa kupokea kuku na nguruwe waliokuwa wakigawiwa kupitia programu ya kaunti.
Katika...
Maafisa wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wamewakamata washukiwa watatu, akiwemo raia wa Tanzania, kuhusiana na jaribio la kuwasafirisha wasichana wawili wenye umri wa miaka 13 na...
When President Uhuru Kenyatta appointed Major General Philip Kameru as Director-General of the National Intelligence Service (NIS) in 2014, he followed a well-trodden path of selecting senior...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika uongozi wa Serikali baada ya kumteua aliyekuwa msemaji wa zamani wa Polisi, Charles Owino, kuwa Msemaji mpya wa Serikali akichukua nafasi ya Isaac...
The British Army Training Unit Kenya (BATUK) has cancelled Exercise Haraka Storm, a major military training exercise scheduled to take place in Laikipia between September and November 2026, after...
Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema eneo la Mlima Kenya litakuwa na mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa 2027, hata kama yeye mwenyewe atazuiwa kuwania nafasi hiyo...
Wasichana wawili wenye umri wa miaka 13 na 14, ambao walikuwa wameripotiwa kutoweka katika Kaunti ya Meru, wameokolewa katika eneo la Mashuuru, Kaunti ya Kajiado, muda mfupi kabla ya kusafirishwa...
Mali ya kampuni ya Keroche Breweries imeuzwa kwa mnada kufuatia agizo la mahakama kuhusu madai ya mishahara na marupurupu ya wafanyakazi wa zamani yenye thamani ya zaidi ya KSh22 milioni.
Kwa...
Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika...
Hakimu Mwandamizi Mkuu Martin Kinyua pamoja na Afisa Mkuu wa Probation Julius Irungu wamekamatwa na maafisa wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa tuhuma za kuomba na kupokea hongo...
NAIROBI: Law Society of Kenya (LSK) imeanza kususia shughuli za mahakama nchini, ikisema inalenga kushinikiza uwajibikaji na uwazi ndani ya Idara ya Mahakama.
Akizungumza nje ya Mahakama ya Juu...
Ee Mungu, uturehemu na utujaalie tuione dunia yenye haki na amani. Dunia imebadilika, watu wengi wamekuwa na mioyo migumu isiyo na huruma.
Kwa wanaofuatilia kesi ya Albert Ojwang nchini Kenya...
Margaret Nduta Macharia remains in prison in Vietnam after her death sentence was commuted to life imprisonment by the Supreme People's Court of Vietnam in July 2025 following legal reforms and...
Moffat Maitha, the former Member of Parliament for Kangundo, was charged before the Kangundo Law Courts with defilement and an alternative count of committing an indecent act with a child under...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya (KNCHR) imewasilisha pendekezo la sheria mpya inayolenga kuweka mfumo wa kisheria wa kusimamia maandamano, mikutano ya hadhara, kupiga kambi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.