Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Habari Jamvini?, Uchaguzi Mkuu wa Kenya [emoji1139] umefanyika siku ya Jumanne Agosti 8, 2017 ambapo kulikuwa na mchuano mkali kabisa kati ya Uhuru Kenyatta mgombea wa Jubilee na Raila Odinga...
9 Reactions
64 Replies
8K Views
Poleni na majukumu ya juma zima familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Ndugu zetu wakenya wamefanya uchaguzi lakini kura zilizotolewa kwa njia ya electroniki zimekataliwa na upinzani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kweli siasa yaweza kumfanya mtu kupoteza akili
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya...
26 Reactions
128 Replies
11K Views
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo...
26 Reactions
140 Replies
15K Views
Juz ndio nilipiga mstari wa kichwa cha habari hapo juu jamaa hana jokes mpya miaka yote anasimulia vitu hivyo hivyo anadhan anakutana na watu wapya kila siku wapenz wa comedy ndio wale wale jokes...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
White Journalists are everywhere with Their Cameras Waiting for violence haha Am just Searching this twitter streets Naona white Journalists kila mahali wakisaka news za Demonstrations ili waweze...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimefuatilia uchaguzi kenya na ningetaka kumshauri raila amollo odinga ajifunze kusoma alama za nyakati, kwanza mh raila aelewe kuna badhi ya makosa makubwa sana aliyafanya tangia siku ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waangalizi wa kimataifa wa Umoja wa Afrika na Jumuiya ya Madola wametoa ripoti yao ya awali kuhusu uchaguzi Kenya na mazungumzo yao na kambi ya upinzani ya National Super Alliance (Nasa)...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi Mwanakijiji 1 hr · With A Light Touch: After earnestly watching the final tallies of the Kenyan Election 2017 I went to bed like many others without knowing how this 'Game of Thrones' like...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
My Prophecy To KENYA ELECTION this year 2017. For the first time today 19/4/2017 God says Raila Odinga going to be a President in KENYA, means that ODINGA will WIN the General Election. Because...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
MSANII maarufu wa muziki nchini Kenya,Charles Kanyi alimaarufu JAGUAR ameangua kilio kizito baada kushindwa kwenye kura za maoni akigombea Ubunge jimbo la Starehe kwa tiketi ya chama cha JUBILEE...
3 Reactions
49 Replies
13K Views
Namtazama John Kerry anavyowasifu kwa kuendesha uchaguzi kistaarabu na kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kukusanya na kujumlisha matokeo na kukamilisha process nzima ndani ya siku 2 tu za...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Aliyekuwa mgombea wa Ubunge Igembe Kusini nchini Kenya, John Mwirigi (24) ameshinda nafasi hiyo baada ya matokeo kutangazwa na Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Mwirigi ambaye anatajwa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Our Deputy Chief Agent Norman Magaya hospitalized at Nairobi Hosp. He suffered a heart attack after an altercation with Kimani Ichungwa. We suspect poisoning.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kufuatia uchaguzi nchini Kenya watu wameuawa na askari eneo la Madhare nje kidogo ya Jiji la Nairobi ambao ni wafuasi wa NASA . Matukio haya hayaonyeshwi na vyombo vya habari vya Kenya.
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi ya leo , mgombea huyo amepinga matokeo hayo ya awali yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi IEBC yanayoonyesha kuwa Kenyatta anaongoza wakiwa wametofautiana...
5 Reactions
77 Replies
9K Views
kwanza lets observe a moment of silence for the fallen heroes of NASA...RIP NASA...jamaa wameenda nyumbani wote... lol! what a waste of campaign funds Rais ashachaguliwa...kenya has decided that...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya mgombea wa NASA kulalamika kuhusu matokeo sio halali yanayotolewa na tume kutokana kukosekana na baadhi ya nyaraka za fomu alizodai odinga Sasa tume ya uchaguzi imesitisha kutangaza...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Huo ni ujumbe muhimu sana kwenu jioni hii. TZ haihusiki na figisu zenu, ibianeni, piganeni fanyeni yote mmalizane salama, msitafute mchawi. sisi na yetu na nyie na yenu. kila mmoja na lwake
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom