The African Development Bank has agreed to finance Tanzania’s central railway projects after several stakeholders pulled out.
Speaking in Dar es Salaam last week, the bank’s East African managing...
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya, ambao ulishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, umeapa kuendelea na maandamano wenye nia ya kubatilisha kile ambacho unasema kuwa, matokeo "feki" ya...
Tuliaminishwa kuwa Uhuru na Ruto wameshiriki kuua watu uchaguzi mkuu wa Kenya, yakaletwa mashitaka wakapelekwa Thehugue (uholanzi)kesi ikaishia ilipo ishia,kukosa mashahidi.
Hivi Leo hayo hayo...
Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia matokeo yote Ya uchaguzi kenya. Ukiyatazama Raila karibu maeneo yote ya Kenya kapata kura za kutosha kasoro machache sana. Kenyatta kura zake zimerundikana maeneo machache ya nchi...
Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne.
Rais Kenyatta alipata kura 8, 203, 290.. ambayo ni...
Kama kichwa kinavyojielezea imebidi nije mbio mbio vipo huyu jamaa kapteni wa mapambano wa NaSA kukiri live kuwa kina tallying in arusha hii imekaaje kidiplomasia na waziri wetu alikanusha kabisa...
Wakuu kwanza nawapongeza kwa uchaguzi.
Nsiwachoshe sasaaa
Huyu baba wa watuu mnataka kupiga naye pichaaaa, kila mtu, makampuni n.k,
Si atapata vidonda vya tumbo kwa hayo maharage?
Muoneeni...
KENYA: Watatu wafariki wakisheherekea ushindi wa Uhuru Kenyatta huku msichana 1 akiuawa kwa kupigwa risasi ktk ghasia huko Mathare.
=====
A young girl was shot dead by police firing "sporadic...
My thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has...
Akitumia ukurasa wake wa twitter Raisi wa Rwanda ambaye hivi majuzi amepata ridhaa ya kuiongoza Rwanda kwa mara nyingine, amempa pongezi raisi wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kuiongoza...
Kibera, Mathare, Eastleigh and several other parts of Nairobi are rocked by violent protests or celebrations at this very moment in the wake of Uhuru Kenyatta's declaration as winner of this yr's...
Wana JF
Nlikua najaribu kufanya mahesabu hapa, ya jumla ya matokea yaliyokwisha tangazwa na kumpa ushindi Uhuru Kenyatta kama ndie raisi mteuliwa, but kile nikijaribu kukotoa, naona haya mahesabu...
Naona kageuka gumzo kwenye vyombo vya habari huko Kenya na watu maarufu kv Omondi,Jeff Koinange nk wamemtumia kama fursa, sasa huyo Githeri man msimuache fukara mpeni fursa hata ya Tv commercial...
GAZETI la sauti huru limeripoti kuwa chama cha demokrasia cha maendeleo cha hapa Tanzania kusema eti Odinga kaibiwa kura na kuwa CHADEMA itaendela kuisapoti ODM kwa hali yeyote!
Nini madhara ya...
Muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) umeendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yanayotangazwa na tume huru ya uchaguzi nchini humo (IEBC) huku umoja huo ukitaka tume imtangaze kiongozi...
Kenya election monitors urge losing candidates to accept poll results
Provisional results show incumbent Uhuru Kenyatta ahead, but opposition accuses officials of hiding Odinga victory
View...
Wakati Tanganyika ikiadhimisha sikukuu ya wakulima mnamo tarehe 08/08/2017, wakenya watakuwa wakipigana vikumbo kwenye mistari mirefu wakimchagua rais wao atakayewaongoza kwa kipindi kingine cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.