Eric Omond kaishiwa kwenye stand up comedy

Half Genious

JF-Expert Member
Feb 28, 2017
494
1,000
Juz ndio nilipiga mstari wa kichwa cha habari hapo juu jamaa hana jokes mpya miaka yote anasimulia vitu hivyo hivyo anadhan anakutana na watu wapya kila siku wapenz wa comedy ndio wale wale jokes zake sijui za kusikiliza mlio wa ATM tangu alivyokuja all white party anaisimulia hiyo hiyo mara anaota hela halafu anarudisha bank hiyo tangu akiwa charchill au ya wanaume wa kenya kutokuwa romantac kupitia nyimbo zao sijui nani hajawahi kuyasikia na juzi kayarudia yale yale ukienda youtube yale yale...sion ubunifu nakiri kusema asipobadilika atafute shughuli nyingine ya kufanya
 

kingsize25

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
208
500
Sure,pilipili alimfunika sana jamaa na wengine wote, hakustahili kuwa show stopper kabisa
 

kingsize25

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
208
500
Mpamire yeah ila nae hadithi zilizidi kidogo kuna muda alikua anawaacha watu bila kucheka....pili pili kila sentensi anaangusha nondo
Labda lugha iliwashinda lakini aliyekuwa commedian wa ukweli pale ni TEACHER MAPAMIRE TUU
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,267
2,000
Kuna kichwa kinaitwa Ayeya, bahati mbaya nilisoma mtandaoni kua bangi zimemuwehusha na sijui imekuaje tena.

Kuna mdau anasema jamaa katutoka.

Komedi ya Kenya ina pengo tayari
 

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,867
2,000
Mpamire yeah ila nae hadithi zilizidi kidogo kuna muda alikua anawaacha watu bila kucheka....pili pili kila sentensi anaangusha nondo
Pili pili huyu huyu ambaue juzi watu wamemshauri aachane na comedy au unamzungumzia pilipili yupi?
 

kingsize25

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
208
500
Pili pili huyu huyu ambaue juzi watu wamemshauri aachane na comedy au unamzungumzia pilipili yupi?
Mzee hata mimi nilishangaa jamaa ametokea wapi na creativity ya kutosha.....yani alikua anashusha vitu kama russel peters hivi au jasper murume
 

okaoni

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
1,392
2,000
Huyu pilipili tofauti na MPAMIRE, OMONDI na KANSIIME comedy yake haiweze kuvuka mpaka wa afrika mashariki kwani vituko vyake vingi ni matukio ya kiswahili yanayojiri bongo tuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom