Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
3 Reactions
13 Replies
721 Views
Aisee Kenya Ina Hali mbaya sana ,Deni lao ni Trilioni 200 (Ksh10T) vs Trilioni 100 za 🇹🇿 😂 😂 😂 😂 👇 👇 Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kenya Airways will launch two additional direct flights from Nairobi’s Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town in South Africa from November 20. The carrier said the move follows...
3 Reactions
3 Replies
816 Views
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali...
1 Reactions
11 Replies
883 Views
Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Siku chache baada ya Rais William Ruto kukataza kupiga marufuku michango ya wanasiasa kwenye nyumba za ibada viongozi wa chama cha Kenya Kwanza wakiongozwa na Farouk Kibet wamefanya harambee...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Kanisa la Anglikana la Kenya (ACK) limetangaza kuwa kuanzia sasa, hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kupanda madhabahuni kuhutubia waumini wakati wa ibada za Jumapili au matukio yanayohusiana na...
1 Reactions
3 Replies
909 Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo. Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Mwanasiasa mtata na aliyeonyesha uroho wa madaraka na kukosa msimamo nchini Kenya Raila Odinga ametangaza rasmi kujiunga na Ruto aliyezoea kumuita mganga wa kienyeji. Inaonekana wawili hawa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Nilicheka sana nilipoona vituko vya handshakeee Baada ya kuungana mzee wetu aka Baba akaenda mkutanoni leo. kufika babaaaaa anataka kuanza kuongeaaa baba kuhamaki akashtukiaa kundizima la mkutano...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Sijui ni vigezo gani tunatumia kuchagua viongozi wetu Afrika. Kwa nchi kama Kenya mabayo imetajwa kuwa mojawapo ya nchi zenye ukame mkubwa barani Africa jambo linalopelekea uhaba wa maji na wana...
3 Reactions
8 Replies
984 Views
Tukio la ajabu katika inchi ya Kenya. Pastor Bien Getau ambaye ni muhibiri maarufu nchini kenya anadai kupigiwa simu na Bishop aende akampe msaada katika kumwezesha kuendesha kanisa lake alipo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo...
1 Reactions
9 Replies
944 Views
Wakuu, Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutoa mchango wa shilingi milioni 20 kwa kanisa moja jijini Nairobi na kuahidi milioni 100, hisia kali zimeibuka nchini Kenya. Hivi sasa, Wakenya...
0 Reactions
7 Replies
852 Views
Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya...
2 Reactions
4 Replies
516 Views
Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund" Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha...
2 Reactions
3 Replies
572 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…