Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Ripoti mpya ya usalama wa chakula nchini Kenya, inaonyesha kuwa karibu watu milioni mbili katika Kaunti kame nne za Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wanakabiliwa na Uhaba mkubwa wa chakula...
2 Reactions
4 Replies
404 Views
Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16...
4 Reactions
9 Replies
863 Views
Upinzani Umeungana umetuma orodha ya madai kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakidai kuwa tume hiyo imekiuka masharti ya Katiba. Kupitia barua yao, upinzani umesema kuwa kufichua taarifa...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Serikali ya Kenya, imeanzisha sheria mpya kudhibiti sekta ya boda boda kutokana na kuongezeka kwa ajali na uhalifu unaohusishwa na waendeshaji wa pikipiki, ikiwemo visa vya kuchoma magari baada ya...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
Moja ya msafiri wa ndege ya Kenya Airways ameonesha uchakavu wa baadhi ya vitu vilivyomo kwenye ndege hiyo vikiwa vimechakaa na kuharibika. Ujumbe wa abira "Kenya Airways gave us trauma bonding...
1 Reactions
6 Replies
573 Views
Sherehe ya mazishi katika eneo la Kitutu Chache Kaskazini iligeuka vurugu baada ya Wabunge wawili, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache Kaskazini) na Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini), kushikana...
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Rais William Ruto: Watu wengi hawaelewi kwa nini nafanya kazi kwa bidii kubadilisha Kenya. Baadhi wanasema nafanya mambo mengi sana katika muhula wangu wa kwanza kiasi kwamba ningesukuma miradi...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Kenya imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidijitali kukusanya madeni, ikitanguliwa na Nigeria na kufuatiwa na Uganda, kwa mujibu wa Acorn Research. Licha ya kuwa...
1 Reactions
7 Replies
459 Views
Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi...
2 Reactions
2 Replies
367 Views
Jeshi la Polisi jijini Nairobi limewakamata takribani washukiwa 300 katika msako mkubwa wa kuwakabili wezi wa mitaani na uhalifu wa usiku unaoendelea kushamiri katika eneo la katikati ya jiji...
1 Reactions
2 Replies
356 Views
The auction of the first set of Eliud Kipchoge’s non-fungible tokens (NFTs) closed on Thursday 23.00 Kenyan time and was sold for a total of 17.9837 in Ethereum currency, equivalent to Ksh...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Taifa la Kenya lina jamii mchanganyiko. Ila moja ya jamii ambayo ni ya kipekee sana ni Wasomali ambao kiuhalisi walijikuta wako Kenya kutokana na sababu za kikoloni. Ila baada ya Kenya kupata...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Haya sasa deni la taifa limefika trillion 12.1, kila mkenya anadaiwa 208k
1 Reactions
8 Replies
511 Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Wefula Chebukati aliamua kukata jina la mgombea Urais asiyeona Dr Kigame bila sababu za msingi Dr Kigame akaenda mahakamani na Mahakama ikamtaka...
2 Reactions
3 Replies
456 Views
Kama ulipata kutazama tamthilia ya Money Heist basi jina la Álvaro Morte sio geni masikioni kwani huyu ndio alikuwa Mastermind kupita maelezo wa michongo yote ya kupiga pesa, Morte tunamfahamu...
31 Reactions
101 Replies
5K Views
A few years ago Kenya announced grand plans to construct Africa's largest infrastructure dubbed LAPSSETT which would see a modern port in Lamu, then poised to be the largest in Africa, served with...
3 Reactions
89 Replies
18K Views
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga...
1 Reactions
6 Replies
950 Views
Mamlaka nchini Kenya imeweka marufuku ya kutotoka nje kwa siku saba (7) kuanzia jioni hadi alfajiri katika baadhi ya sehemu za kaunti ya Nakuru baada ya kuanza kwa ghasia za kikabila kwenye eneo...
1 Reactions
2 Replies
437 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…