Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Jameni wananchi wanasombwa na maji utadhani visiki, live kwenye video, inatia huruma na kusikitisha, ama kwa kweli Afrika bado sana, kazi bado iko
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dah! Wakenya mwaka huu umekuwa ni wetu kwenye ulingo wa spoti. Yaani ni Kenya, Kenya, Kenya kila sehemu. Proud to be Kenyan! [emoji1139] Baada ya wiki mbili za kupiga kura na ushindani kati ya...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijaelewa kwa undani hasa lengo la UN - Habitat kutengeneza hii video. Je walitaka kutoa ujumbe gani hasa?. Ningependa wakenya wachangie zaidi katika Uzi huu. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Tuliwaambia wakenya hizi project zitawamaliza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
🚨 Attention attention attention 🚨 Kenyans you are bragging so much about your SGR terminus kwamba they are unbeatable in attractiveness and modernity but you are no longer catchy after Tanzania...
10 Reactions
40 Replies
11K Views
2' News China donates 30,000 bags of rice to Kenya, Twitter users outraged Abdur Rahman Alfa Shaban28/08 - 17:55 Kenya Kenya has received a donation of rice from China to help with government...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
- Wafanyibiashara wawili walikuwa wakisafirisha miraa kuenda Garissa walipotekwa nyara - Wazee kutoka eneo la Liboi walisema magari mawili ya wafanyibiashara hao yalionekana yakielekezwa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi eneo la Suna Magharibi, kaunti ya Migori wanamsaka mwanamke mwenye umri wa makamo aliyetoweka baada ya kumdunga kisu shemejiye. Eunice Adhiambo alitekeleza kisa hicho baada ya mabishano...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Halafu sio wanariadha wa kila siku tuliowazoea, hawa ni wadau wa kawaida tu, wanafanya maandalizi ya kukimbia kutokea Nairobi hadi Moshi, Tanzania kwa siku tano. Yaani mzuka wa ajabu sana huu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Nangili katika Barabara Kuu ya Kitale kwenda Eldoret Imeelezwa kuwa Madereva wa magari yote wamefariki paper hapo Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs. 1. Libya-1713$ 2.Zambia-1482$ 3.South Africa-1188$ 4.Namibia-753$ 5.Mauritius-666$ 6.Tanzania-422$ 7.Morocco-402$...
4 Reactions
115 Replies
16K Views
Hii ndio Nairobi halisi, hongereni sana majirani. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Kenya is set to host its first carbon neutral festival in Africa during this year Kilifi Festival. The Festival, which is in its fourth year, has announced that the multicultural event will be...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Hii familia ya Odinga Mungu awasaidie. First the loss of Fidel Odinga and now Rosemary Odinga suffered a stroke and lost her eyesight. God give Raila and Ida the strength to keep going. Rosemary...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wanandoa hao wamefariki alfajiri ya leo walikuwa safarini kuelekea huko Busia kwa ajili ya sherehe za mwisho wa mwaka (Krismasi na Mwaka Mpya). Watu watu Watano wakiwemo wrote wamejeruhiwa vibaya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila mtu anayetembelea Kenya section nawatakia krismasi njema.
7 Reactions
20 Replies
2K Views
KIBRA, KENYA: Mwanamke mmoja wa makamo amefariki dunia wakati akiwa bafuni anaoga. Imeelezwa kuwa kifo chake kimetokana na hitilafu y umeme Mashuhuda wamesema kuwa Mwanamke huyo alikuwa mwenye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sh30bn road plan for central Kenya The State says it plans to build a Sh30 billion network of roads known as Mau Mau Road within two years. Speaking at a contractors site visit along the...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
The on-going dredging of Kisumu port will be extended to Sio Port and Port Victoria in Busia County, former Prime Minister Raila Odinga has said. Raila said the same exercise will be extended to...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom