Three dead after bus collides with van carrying sheep

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Van.png

Ajali hiyo imetokea katika eneo la Nangili katika Barabara Kuu ya Kitale kwenda Eldoret

Imeelezwa kuwa Madereva wa magari yote wamefariki paper hapo

Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Kufundishia ya Rufaa ya Moi iliyopo Eldoret huku wengine wakipelekwa katika Hospitali ya Kaunti ya Likuyani


=======


Three people were on Thursday evening killed and others injured following an accident at Nangili on the Kitale-Eldoret highway.

According to witnesses who spoke to Citizen Digital, the accident occurred when a bus collided with a van carrying sheep.

The deceased are the drivers of both vehicles and one passenger.

Confirming the incident, Likuyani OCPD Boniface Lisiolo said the sheep were being ferried to Munyaka in Eldoret.

The injured have since been rushed to the Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret and others to the Likuyani County Hospital.

The Citizens Kenya
 
PAFANYIKE UCHUNGUZI WA KINA KUBAINI CHANZO HALISI CHA AJALI KWA SABABU SIKU HIZI MADEREVA WANATUMIA ZAIDI VILEVI WEWE UTAONA KAMA ANAKUNYWA MAJI YA CHUPA LAKN KUMBE MWENZAKO PALE ANAPOMBEKA TARTIIIIBU !! HUKU AKIENDELEA KUPIGA GEAR
 
Back
Top Bottom