Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Ethiopia overtakes Kenya as economic giant of East Africa Ethiopia Ethiopia has officially overtaken neighbouring Kenya as East Africa’s economic giant. According to International Monetary Fund...
3 Reactions
105 Replies
7K Views
Source: Xinhua 2018-05-20 02:10:55 DAR ES SALAAM, May 19 (Xinhua) -- China said on Saturday good progress was being made on negotiations with the Tanzanian government on the 10 billion U.S...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tension in Mandera as Ethiopian Troops Amass Kenya hili mlilitaka wenyewe kutokana na kiburi chenu na kujifanya wajuaji, ni wazi kwamba KDF hawana uwezo wa kupingana na majeshi ya Ethiopia...
7 Reactions
115 Replies
9K Views
Katika kila "scandal", viongozi wakuu serikali na wanasiasa wanahusika kwa kiwango Kikubwa, hakuna hatua zozote za maana zinazochukuliwa na serikali za kuwawajibisha. ====== A number of Kenyan...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni jambo gani serikali zetu zinaweza kufanya ili kuzuia mamia ya watu kufa kila siku kwa ajili ya Corona? Jana Italy watu 743 walikufa kwa masaa 24. Leo spain watu 738 wameaga kwa masaa 24...
7 Reactions
102 Replies
9K Views
A 27-year-old woman from South Africa has committed suicide at the Kenya Industrial Training Institute (KITI) in Nakuru where she had been placed under quarantine undergoing check-up for the...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Siku ya leo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua kuu muhimu za kijamii na kiuchumi za kuwanusuru raia wa Kenya kutokana na madhara yatakayotokana na hatua za kudhibiti athari za kuenea...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
After Coronavirus, Kenyans Will Have To Fight One More Virus Hii "article" inaonyesha ni kwa jinsi gani viongozi wa Kenya wasivyojali wananchi wao wanaowaongoza, na ni kwa kiasi gani wananchi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
https://www.businessdailyafrica.com/datahub/Financial-services-topple-manufacturing/3815418-5283938-11hek8xz/index.html Kenya kwa miaka mingi ilitawala katika "manufacturing sector " katika...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
A Kiambu landlord has waived rent for his tenants, a day after President Uhuru announced tax cut relief for civil servants. James Karanja (pictured), a landlord in the sprawling Mugumo estate in...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kitumbua cha dunia kimeingia mchanga, mataifa yamefunga mipaka, kila mtu abaki kwao ndani, hii ndio taswira kote, sasa Watz bado hawaonyeshi kuelewa hiki kitu, mataifa yote yaliyowazunguka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Idadi ya kesi za coronavirus nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia watu 31 baada ya wagonjwa wengine watatu kupimwa na kukutwa wakiwa na COVID-19. Katika mkutano na waandishi wa habari leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kenya imetangaza kuanzia siku ya ijumaa ni marufuku kutoka nje kuanzia saa moja jioni mpaka saa 11 alfajiri, whether you like it or not (in Uhuru's voice) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The Ministry of Health has banned all pharmacies and chemists from selling Chloroquine and Hydroxychloroquine drugs to clients without a prescription from a medical doctor. This comes after it...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yaani tarakishi kuibiwa kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka kizembe hivi inaonyesha wenzetu wako bado sana kwenye vita dhidi ya ufisadi, ofisi muhimu hivyo haina hata CCTV au vipi...ukizingatia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 8 na kufikisha idadi ya wagonjwa 15. Katika wagonjwa wapya 8, watano ni wakenya na 3 raia wa kigeni Abiria 363 wanaodhaniwa kugusana au kukutana nao...
4 Reactions
62 Replies
7K Views
Mkenya wa kwanza kutajwa kuwa na Corona amepona yuko freshi, hayo yametangazwa na rais Uhuru, duh ila maambukizi yanaendelea kuzagaa, wengine watatu wapatikana nacho kirusi. Hiki kitu tutapona ila...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
The city of Kinshasa A growing list of Kenyan firms are looking for investment opportunities in the Democratic Republic of Congo (DRC) as the mineral-rich economy proves to be a fertile hunting...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kenya imepiga marufuku uingizaji wa nguo za mitumba nchini humo ikiwa ni tahadhari ya kusambaa kwa virusi vya corona. === NAIROBI, Kenya Mar 18 – As the coronavirus pandemic continues...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…