Tanzania:
Maafisa wa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto nchini wameendesha zoezi la kuppuliza dawa katika mitaa ya Jiji la Dar kama sehemu ya kupambana na ugonjwa wa Covid19.
Kenya:
Chaos at...
Ni wazi Kenya inaamanisha kwenye vita dhidi ya virusi hivi, tumefunga mipaka, tumefunga viwanja vya ndege, kila mtu abaki kwao, iwe wazungu au hata majirani, kila mmoja apambane kinyake huko huko...
Why Kenya is Miles Ahead of Tanzania in the Fight Against Coronavirus
Hii ndio hali ilipofikia kwa jirani wetu, kwamba lazima wajaribu kujiliwaza hata Kama kwake mambo yanaharibika. Japo Kenya...
The Ministry of Health has announced 9 more cases of coronavirus in Kenya bringing the total to 59.
According to Chief Administrative Secretary Dr. Mercy Mwangangi, tracing of contacts of the 59...
Waziri wa Afya ametangaza kuwa Kenya imepata visa 8 zaidi vya walioambukizwa Virusi vya Corona na kufanya jumla ya waliopata kuwa 50
Katika walioambukizwa 34 wanatokea Nairobi, 6 wanatoka Kilifi...
The government of Kenya has announced plans to develop an industrial park powered by geothermal energy in Nakuru County Kenya. Geothermal Development Company (GDC) Board Chairman John Njiraini...
President Uhuru Kenyatta on Monday, March 30, held a historic meeting as he stepped up his efforts to combat the spread of Covid-19.
The president was joined by 5 other African leaders namely...
Hii ni dalili nzuri sana, kuona rais Uhuru Kenyatta anaanza kusikikiza mawazo ya watu wenye akili na kuachana kusikiliza mawazo ya wapambe wake ambao wengi hawana uwezo wa kufikiria.
Kama...
Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza...
Ni mojawapo wa jitihada za kujichimbia dhidi ya kiama kinachokuja, wenzetu wa Tanzania humu JF wametukana kila hatua tunayofanya, wamesahau hata maombi ambayo waliambiwa wafanye. Sisi tuliambiwa...
Hapa sasa ndio unagundua ubora wa vituo vya afya kwenye nchi, sio majengo tu, Kenya inaendelea kuongeza vituo vinavyopima Corona ambapo itasaidia sana katika kugundua na kuwatenga wanaoumwa...
Wizara ya Afya ya Kenya imesema kwamba idadi ya watu wenye virusi nchini humo inategemea kuongezeka kwa kasi sana na kufikia watu 10,000 ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kutoka sasa, hii itakuwa...
Kenya lacks enough Covid-19 testing kits, says Jubilee MP
Wakati Kenya ikiripoti ongezeko kubwa la maambukizi ya Corona na vifo kufikia watu 2, tatizo la upungufu wa vifaa vya kupimia watu wenye...
Kenya inazidi kupiga hatua za kujichimbia ili kukabili kiama kinachokuja, majirani endeleeni kubeza na kuchekelea hizi hatua.
=======
State seeks to ensure food security in Covid-19 war
The...
Kama wapo kwenye LOCKDOWN vile vipimo hapana..wamevunja Sheria coz kwenye lock down police hawatakiwi kutumia miguvu Kama Ile.
Kama wapo kwenye CURFEW then ninsawa kuwacharaza zile bakora wananchi
Two patients out of the 31 who have tested positive for the coronavirus in Kenya are in critical condition and admitted to the Intensive Care Unit (ICU), Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has...
Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala...
Familia moja nchini Kenya yataka haki itendeke baada ya kifo cha Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi hadi kufa.
Inadaiwa Khamisi alipigwa na maafisa wa polisi wakishinikiza...
Msemaji wa Serikali ya Kenya. Kanali Cyrus Oguna amesema suala la serikali kusitisha ulipaji kodi ni jambo lisilowezekana kwani fedha hizo zinahitajika ili kuendesha shughuli mbalimbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.