Tetesi: Habari njema, Mkenya wa kwanza kuumwa Corona adunda mtaani akiwa buheri wa afya, ila waongezeka wengine watatu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Mkenya wa kwanza kutajwa kuwa na Corona amepona yuko freshi, hayo yametangazwa na rais Uhuru, duh ila maambukizi yanaendelea kuzagaa, wengine watatu wapatikana nacho kirusi. Hiki kitu tutapona ila tujaribu kila mmoja kwa uwezo wake kuepuka kutangamana na wazee wetu, kaa mbali na wazazi, mababu na mabibi/nyanya zetu, maana kule kwa weupe kinawamaliza sana hao maajuza wao.
-------------------------------------------
President Uhuru Kenyatta on Thursday, March 25, announced that three more Coronavirus (Covid-19) cases had been confirmed in the country.

This brings the total confirmed cases in the country to 28.

Uhuru further announced that the first confirmed patient in Kenya, a 27-year-old woman, had recovered fully.

More to follow...

3 More Coronavirus Cases Confirmed in Kenya
 
Hebu tulizeni bandugu msije mkaanza kuwakumbatia na kuwabusu wangojwa wa Corona.
PRI_147620285.jpg
Mwanahabari kutoka Zimbabwe Zororo Makamba, mwanawe mwanabiashara mashuhuri James Makamba, aliaga dunia hiyo jana kule Zim. Alikuwa na miaka 30 tu na alianguka ghafla na akafa akiwa hospitalini Harare. Siku tatu tu baada ya kupimwa na kupatikana kwamba ana virusi vya Corona. Hivi virusi ni hatari sana hata kwa vijana, sanasana wale ambao tayari wana 'condition' zozote za kiafya. Zingatieni ushauri wa wataalamu wajomba zangu hadi pale ambapo dawa au vaccine ya COVID-19 itakapovumbuliwa, Inshaalah.
 
Hebu tulizeni bandugu msije mkaanza kuwakumbatia na kuwabusu wangojwa wa Corona.
PRI_147620285.jpg
Mwanahabari kutoka Zimbabwe Zororo Makamba, mwanawe mwanabiashara James Makamba, aliaga dunia hiyo jana kule Zim. Alikuwa na miaka 30 tu na alianguka ghafla na akafa akiwa hospitalini Harare. Siku tatu tu baada ya kupimwa na kupatikana kwamba ana virusi vya Corona. Hivi virusi na hatari sana hata kwa vijana, sanasana wale ambao tayari wana condition zozote za kiafya. Zingatieni ushauri wa wataalamu wajomba zangu hadi pale ambapo dawa au vaccine ya COVID-19 itakapovumbuliwa, Inshaalah.

Fuatlia taarifa za huyu jamaa alikua na mazagazaga yake mengine. Hicho kikorona kikikukuta umesheheni mambo mengine kama vile homa ya mapafu basi hakikuachi, lazima ufukiwe ardhini.
 
Fuatlia taarifa za huyu jamaa alikua na mazagazaga yake mengine. Hicho kikorona kikikukuta umesheheni mambo mengine kama vile homa ya mapafu basi hakikuachi, lazima ufukiwe ardhini.
Kweli kabisa, ndio maana nikatoa tahadhari kwa wale ambao wana pre-existing conditions za kiafya. Kumbuka kwamba sisi waafrika hatuna mazoea ya kuwaona madaktari wetu mara kwa mara, hata wakati ambapo hatuna maumivu yeyote mwilini.
 
"TUUNGANE TUTAMSHINDA CORONA."
kwa kweli biashara sasa hivi imekuwa ngumuuuu.hapa bado hatujafungiwa ndani.
Najiuliza itakuwaje tukifikia hatua hyo?.
MUNGU MKUBWA..
wale mnaosubiri watu wafe kwa corona poleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom