Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Akizungumza na Wakenya wanaoishi...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Maelfu ya vijana siku ya Alhamisi walivamia na kulichoma kituo cha Polisi cha Mawego kilichopo Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay, huku wakibeba jeneza la marehemu mwanablogu Albert Ojwang’...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Vijana nchini Kenya wametambulisha chama kipya cha siasa kilichopewa jina la 47 Voices of Kenya Congress, ambacho tayari kimeingia rasmi kwenye uwanja wa siasa baada ya kusajiliwa rasmi. Hiki ni...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
"Rais Ruto aliniuliza kuhusu Kikosi Maalum cha Mauaji (Special Service Unit) mara tu baada ya kuapishwa, na mimi nilikuwa naisikia kwa mara ya kwanza. Waziri wa Mambo ya Ndani hafahamu kila...
0 Reactions
5 Replies
467 Views
My Take Technically Wakunya hawana Cha kupoteza ndio maana kuuana kwao ni jambo la kawaida Kwa sababu wana njaa na maisha magumu sana https://www.instagram.com/p/DLjw1wxqMVh/?igsh=MWw5dzB4c3o5b25o
2 Reactions
14 Replies
397 Views
Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii ni aibu kubwa kwa wote wanaopigania ule uhuru usio na mipaka au heshima. Hii ni demokrasia gani inayoleta maafa na chaos?
3 Reactions
16 Replies
635 Views
https://youtu.be/05F_thApmuY?si=2FY_ab04Lot3yoUn Hili limetafsiriwa tofauti na wananchi waliokuwa wanamsikiliza. Waziri Murkomen ameliambia jeshi la polisi la Kenya kama atatokea mtu anataka...
2 Reactions
4 Replies
362 Views
Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa...
1 Reactions
6 Replies
486 Views
Kenya ina vijana wengi sana ambao wameikimbia nchi yao, na wengi wao ni wale wenye elimu na akili nyingi. Hawa waliobaki Kenya hali zao za kiuchumi sio nzuri na hawajui kwanini hali zao kiuchumi...
1 Reactions
23 Replies
896 Views
Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine...
2 Reactions
7 Replies
508 Views
Ukifika Kenya hakuna story zaidi ya habari za nairobi,Huwa najiuliza maswali serikali ya kenya haiendelezi maeneo mengine zaidi ya nairobi Maana story zote ni Nairobi,Wakiposti vitu ni vya...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kufadhili makundi yenye vurugu kuingia kwenye maandamano ya vijana hivi karibuni na...
1 Reactions
2 Replies
406 Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto, amemteua Meja Jenerali David Kipkemboi Ketter kuwa Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu (Kenya...
0 Reactions
2 Replies
380 Views
Rais William Ruto amepuuza wito unaoongezeka kutoka kwa viongozi wa upinzani wanaomtaka ajiuzulu, akiwataka badala yake waje na mpango mbadala unaotekelezeka badala ya kuchochea vurugu na hali ya...
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Hiyo ndio taarifa kutoka nchi jirani ya Kenya kwamba jana kulikuwa na jaribio la kupindua Serikali Waziri wa mambo ya ndani mh Murkomeni amesema wanasiasa waliofadhili Uhaini huo wanasakwa...
0 Reactions
8 Replies
400 Views
Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=49v7v-yUWdY
1 Reactions
9 Replies
340 Views
Back
Top Bottom