Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya nchini Kenya (NACADA) imependekeza kuongeza umri wa kisheria wa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21, kama sehemu ya sera...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA) inapanga kutekeleza sheria kali zaidi kuhusu uuzaji na unywaji wa pombe na dawa za kulevya. Sera ya...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Askari watatu wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa baada ya mlipuko wa bomu la kutegwa ardhini (IED) kutokea katika eneo la Badaah, barabara ya...
0 Reactions
5 Replies
381 Views
Emotions aside these two cities i.e. Stonetown city n Mombasa city have so much in comon. From international airports to ports to world class hotels, resorts n lodges to historical attractions...
5 Reactions
265 Replies
31K Views
Kenya imeondoa rasmi masharti ya viza kwa nchi nyingi za Afrika na Karibiani, ikiwa ni hatua ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kukuza sekta ya utalii. Raia wa nchi zitakazoruhusiwa sasa...
2 Reactions
3 Replies
610 Views
Rais wa Kenya William Ruto, akiwa katika hafla ya uzinduzi wa makazi ya polisi eneo la Kilimani, Nairobi, tarehe 9 Julai 2025, alitoa agizo kwa polisi kuwakabili watu wanaohusika na uharibifu wa...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa...
18 Reactions
134 Replies
4K Views
Kenya's Chief Kadhi, Sheikh Athman AbdulHalim Hussein, has died. Jamia Mosque Imam Sheikh Jamaludin Osman confirmed the news saying the Chief Kadhi died in Mombasa He added that Sheikh AbdulHalim...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Wakuu, Hii kali jamani, raia wamechoka kwakweli, ila kuishi Kenya inahitaji ujasiri na ukakamavu kwelikweli, ni drama kwa drama Source: buzzroom Kenya
1 Reactions
6 Replies
479 Views
Ni kauli ya Mh Ruto Ahsanteni sana Mlale unono 🐼
3 Reactions
5 Replies
385 Views
Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote Kwani anatuletea mifano ya wazi ya kule kunakopigiwa kama mfano bora wa Katiba mpya na Chadema Pamoja na Katiba mpya lakini Rais wao anasema enough is...
1 Reactions
77 Replies
3K Views
Kanisa kujengwa Ikulu maana yake Yesu Kristo ndiye Mfalme wa hiyo nchi Sasa Ukristo ni Dini ya Upendo siyo Visasi Kwenu Wagalatia 😄🙏
1 Reactions
4 Replies
262 Views
Nchini kenya kumekuwa na maandamano ya kila mara yaliyoibuka kuanzia Rais William Ruto alivyoingia madarakani na yamekuwa yakishinikiza mambo mbalimbali yanayofanywa na Ruto na tukumbuke kuwa Ruto...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu . Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo...
3 Reactions
8 Replies
361 Views
Mahakama Kuu Kenya wameamuru watoto waliozaliwa nje ya ndoa wapate mirathi na imezua gumzo katika Muslim Community Kenya. Lakini sasa mtoto bastard kwa tafsiri ya kawaida ni mtoto aliyezaliwa nje...
1 Reactions
13 Replies
612 Views
Hali imezidi kuwa mbaya huko Kenya katika maandamano yanaendelea lakini pia wanaibuka wahuni na kufanya mambo yao ya hovyo sana sasa hizi ni Kelele za Umma Baada ya Wahuni Kuvamia Hospitali ya...
1 Reactions
21 Replies
861 Views
Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025...
0 Reactions
5 Replies
448 Views
Back
Top Bottom