Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wakuu Habari ya Muda . Chama Kikuu cha Upinzani Kenya ODM leo wanaendesha party primaries katika County tatu Turkana, Mombasa na Busia. . Ni kwa lengo la kupata atakaepeperusha bendera za chama...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya. The state corporation is...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama hatua za mwisho za kurasimisha.... DR Congo President Félix Tshisekedi is scheduled to visit Kenya on Thursday where he is expected to sign the East African Community (EAC) treaty. Kenya is...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande...
6 Reactions
63 Replies
5K Views
Jamaa mwenyewe kasema kwamba Nairobi ni New York of Afrika. Tazama kuanzia sekunde ya 28. Malazy bado huwa wanataka kushindana na Nairobi.
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakika Kenya haiko na unafiki! Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wajumbe wa chama cha UDA wamemuidhinisha Naibu Rais William Ruto kuwania kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu nchini Kenya, utakaofanyika tarehe tisa mwezi Agosti mwaka huu. Ruto sasa atamenyana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Geothermal Development Company (GDC), the Kenyan public company that is developing the Baringo-Silali geothermal project in the Rift Valley, has obtained a new grant from the Geothermal Risk...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati Ewura imetangaza bei mpya ya mafuta bila kufafanua Serikali imeweka ruzuku kiasi gani kule Kenya Serikali yao imetenga kiasi cha dola za kimarekani milioni 295 kama ruzuku ili kupunguza...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic. DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya Kenya kukumbwa na Uhaba mkubwa wa Mafuta , jambo lililosababisha foleni ndefu za Magari kwenye vituo vya kuuzia mafuta hayo , Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ameingilia kati ili kunusuru...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom