Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uainishaji wa Filamu (KFCB) Christopher Wambua amesema kuwa filamu zote zenye Maudhui ya Mahusiano au Mapenzi ya Jinsia moja, maarufu Kama LGBTQ+ ni kinyume...
Shirika la Viwango (KEBS) limezitaja aina hizo za mafuta yanayotakiwa kuondolewa madukani haraka kuwa ni Friji Safi na Garlic Oil, Fry Mate, Bahari Fry, Fresh Fri, Gold na Pure Olive Gold...
Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti...
Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa...
Kenyan goods hit Ghana in new Africa trade deal
Saturday, September 24, 2022
Workers at the Associated Battery Manufacturers East Africa limited during the launch the very first locally...
Akiwa huko, Rais atakaribishwa kwa chakula cha jioni na Mfalme Charles III na pia atahudhuria Ibada ya Viongozi wa dunia leo jioni
Jumatatu, Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi wa dunia...
Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana...
GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya...
Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya...
Nakumbuka back in 2000s hapa bongo tayari bongo flava ilikuwa imebamba lakini bado tulikuwa tunakita ngoma za Kenya kwasababu zilikuwa za moto si mchezo.
Nakumbuka wasanii waliokuwa wanatoa ngoma...
Kupitia Ukurasa wake Rasmi kwenye mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna amesema kuwa Rais mpya wa nchi hiyo William Ruto amemrejeshea hati yake ya kusafiria baada ya Serikali ya nchi hiyo...
Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya...
Anatuletea habari za ndani kabisa jinsi bara la Ulaya lilivyo 2022 na viza ya Schengen
Msafiri jasiri Marwa toka Kuria Kenya anatuonesha jinsi bara la ulaya lilivyo na mambo mengi ambayo ni...
June 24, 2017
SportPesa to stop club funding from January
The Sportpesa CEO has announced withdrawal of sponsorship to sports clubs from next year.
This follows the government's decision to...
Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau...
Nihivi...
Wakenya jengeni nchi yenu, mtaendelea kunyanyaswa Sana na waatabu, huku Tanzania pia tutaanza kuwachoka
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja...
Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu.
Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya...
French banks disavow Total’s EACOP plans
Three French banks have committed not to provide project financing for the Total-led East African Crude Oil Pipeline (EACOP).
By Ed Reed
22/04/2021, 4:04...