Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kwa mara ya pili mtoto wa Rais wa Uganda, General Muhoozi kaitishia Kenya kwa mars ya pili, na kusema nitakuja for sure. Na anadai wakenya wamuombe msamaha yeye. Mara ya kwanza Museveni aliomba...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
There is Doubt Kenya is doing well after previous regime. The economy is steadily and slowly improving and this should be something to be celebrated about. as a matter of fact through the 3 months...
2 Reactions
1 Replies
720 Views
Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake...
18 Reactions
63 Replies
8K Views
Edwin Chiloba, kijana Mkenya ambaye alishajitokeza hadharani kama mtetezi wa kundi la LQBTQ nchini humo apatikana ameuwawa na Mwili wake kuwekwa ndani ya sanduku jijini #Eldoret Picha ya mwisho...
8 Reactions
208 Replies
13K Views
Huyu Ruto si alisema hatakopa akimshutumu Uhuru. Imekuwaje tena? Siasa bana. President William Ruto’s administration is targeting borrowing Sh3.6 trillion in his first five-year term, upending...
2 Reactions
3 Replies
580 Views
Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022 Shirika la Mpango wa Chakula...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina. Bodi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi fulani Magufuli akiwa Rais basi tukasikia habari kuwa Wakenya wanamfagilia mbaya na wangetamani kuwa na Rais wa aina hiyo. DP wao ndio Magufuli, sio Ruto kama wengi walivyodhani...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
we are sinotruk howo dump truck, howo tractor trucks, howo cargo trucks, howo concrete mixer truck supplier. with horse power, 336hp, 371hp,420hp, Drive model: 6x4 or 8x4 Are you interested in...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Africa Mashariki inazidi kupamba moto. Nitaweka picha za mradi wenyewe. The "East Africa Commercial & Logistics Center" in Dar Es Salaam, Tanzania, called EACLC for short, which is referred to...
6 Reactions
48 Replies
15K Views
Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi...
0 Reactions
6 Replies
933 Views
Kwa wale wakenya, wapenzi wa movie , Je Dj Afro bado anaendelea na kazi ya kutafsiri. Je ana movie mpya za 2022. Je sehemu gani Nairobi , nitakapoweza kupata CD zake ?
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Mgala muue, haki umpe! Jameni aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta hata kama ana mapungufu mengine lakini kwenye hili nampa hongera za dhati. Nina miaka mingi sijasafiri, ila jana...
5 Reactions
1 Replies
735 Views
Ili kuongeza mapato na kupunguza ukwepaji wa kulipa kodi Kenya inapanga kuunganisha mfumo wake wa kutoza kodi na watoa huduma za simu. Kenya inawalipa kodi 7, 000,000 wakati inawatumia simu za...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali kuanzia Januari 2023 itaondoa shule za msingi za bweni kwa wanafunzi wanaosoma katika darasa la 1 hadi la 9. Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KeMRI) imeeleza kuwa licha ya kuwepo kwa visa vya Kisonono katika miaka ya nyuma lakini kirusi cha ugonjwa huo kimerejea kwa aina tofauti kikiwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Foreign currency deposits in Kenyan banking institutions rose by 21.6 per cent last year with diaspora remittances being among the major drivers of the growth. Monthly data from the Central Bank...
3 Reactions
3 Replies
759 Views
Jamaa amepata mashabiki Kenya kimzaha mzaha, tambo zake yaani, huwa namfatilia sana. Mandonga mtu kazi tuko nawe kwenye hili, uzalendo pembeni, ukipigwa ni kama umepiga. ================...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022. Amesema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…